masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Inaboa..Umeona eeh Masai dada? matokeo yake unaanza wewe kumuongozaššš
Yani anaingia nyoka ndan yeye ndo anaekimbia kujificha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaboa..Umeona eeh Masai dada? matokeo yake unaanza wewe kumuongozaššš
š¤£š¤£š¤£š¤£ Hatari sanaInaboa..
Yani anaingia nyoka ndan yeye ndo anaekimbia kujificha
wewe huezi kujiona ila kwa uzi huu mimi nakuchana.Hapana ni tofauti
wewe huezi kujiona ila kwa uzi huu mimi nakuchana.
maana kwa mwanamke aliyetulia anavumilia mapungufu ya mwanaume wake ila wewe inaonekana kama hujapata mwenye sifa unazozitaka hapawezi kalika utalala hata na wanaume 1000.
umelala na wanaume wangapi ukapata utafiti wako ni kweli ?
una uhakika wanaume wote warefu weusi wako hivo ?
Shida iko wapi kwan? Yako ama yangu?? Tusipangiane
Atakua mwanaume kweli..Mmetengana kwa umalaya wake,ila na wewe hapa umefungua thd ili kujisifia umalaya wako,
Hivi wewe kichwani ni mzima kweli?
Asante...Hayo mambo ya urefu na ufupi kwa mwanaume Kama kichwani hamna kitu ni kazi bure.
Ya Figo siyajui, embu niambieKwanza ni ubaguzi kama tunvyolia tunabaguliwa na wazungu, waarabu n.k.
Pili niulize hili ni tangazo? Nimeona kama ni jambo lake binafsi zaidi.
Ngalikihinja ukumbuke ya Figo, huyu anaweza kuwa ni Ini....
Id ya kiume hii nimekaa paleHey hey jf members
Jamani nina Kama miezi kadhaa tumetengana na baba watoto wangu ni mrefu mweupe still nampenda hadi kesho kutwa, ana kila sifa nzuri ya mwanamke yoyote kuwa nae isipokua UMALAYA PRO MAX
Sasa tulivyotengana nikapata this guy bwanaaah mweusi mrefu ananyoa kipara ana gym body aiseeeee ni fayaaaaaaa jamaa yuko vzr muda wote yuko hooooot[emoji39][emoji39] its my first time to date a mwanaume mweusiiii jamani kumbe watamu hadi watamu tena mpewe maua yenu (Ila ana gubu kulalamika Kila muda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni hayo tu
Nb: muda wowote narudiana na baba watoto wangu, kwake naupooza moyo tu[emoji85]
Siko hapa kuhitaji ushauri wowote, au mwanaume hapana⦠nimekuja kuwapa maua yao tu wanaume WEUSI WAREFU[emoji7]
Two Possibilities.Hey hey jf members

TumeyapokeaHey hey jf members

Khe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaWanaume wanaotumia id zakikeš wanatuchukuliaje sisi vijeba.
Una ka-umalaya kanakusumbua
DuuhHahaha ni kweli maana hiyo miaka yote nimekua nakula ya baba watoto tuā huyu mkaka mweusi at first sight nilimdharau kiukweli ila nilivyokutanisha nae nyama to nyama mmmmhhh mmmhhh ni mtamu bwanaaaa[emoji108]
Ungekuwa mke wangu aaa tungeendana!! Tunapeana at least space kidogo! Kwan lazima kila siku pori ilo ilo...Hey hey jf members
Jamani nina Kama miezi kadhaa tumetengana na baba watoto wangu ni mrefu mweupe still nampenda hadi kesho kutwa, ana kila sifa nzuri ya mwanamke yoyote kuwa nae isipokua UMALAYA PRO MAX
Sasa tulivyotengana nikapata this guy bwanaaah mweusi mrefu ananyoa kipara ana gym body aiseeeee ni fayaaaaaaa jamaa yuko vzr muda wote yuko hooooot[emoji39][emoji39] its my first time to date a mwanaume mweusiiii jamani kumbe watamu hadi watamu tena mpewe maua yenu (Ila ana gubu kulalamika Kila muda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni hayo tu
Nb: muda wowote narudiana na baba watoto wangu, kwake naupooza moyo tu[emoji85]
Siko hapa kuhitaji ushauri wowote, au mwanaume hapana⦠nimekuja kuwapa maua yao tu wanaume WEUSI WAREFU[emoji7]
Hahahaumenikumbusha mwaka 2017 hili jibu nilishawahi kujibiwa na demu wangu alikua kicheche hatari nilipomuorodheshea wanaume wote waliopita naye karibu mtaa mzima ambaye hakula ni mzembe tu.
akanijibu hivi hivi yaani [emoji119][emoji1]