cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku hizi umechachuka vibayaa, ndo honeymoon enyewee??Afu wanakuaga na dick zimepinda flani hivi
Ama bado hamjafika chumbani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku hizi umechachuka vibayaa, ndo honeymoon enyewee??Afu wanakuaga na dick zimepinda flani hivi
Ama bado hamjafika chumbani?
Umetoka jasho mzee mwenzangu?[emoji16][emoji16]Haya maswali yako ,[emoji28][emoji28][emoji28]yantoa jasho
Siku hizi mbona ndio nimepoa kwasababu najiona nimekua mkubwa 🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku hizi umechachuka vibayaa, ndo honeymoon enyewee??
Msinitenge jamaniwe dada muhuni sana😂 utengwe
Yaani ndio tuna wiki moja tu tangu ukutane na black mimi halafu umekuja kuwasimulia jamvini bibie..Hey hey jf members
Jamani nina Kama miezi kadhaa tumetengana na baba watoto wangu ni mrefu mweupe still nampenda hadi kesho kutwa, ana kila sifa nzuri ya mwanamke yoyote kuwa nae isipokua UMALAYA PRO MAX
Sasa tulivyotengana nikapata this guy bwanaaah mweusi mrefu ananyoa kipara ana gym body aiseeeee ni fayaaaaaaa jamaa yuko vzr muda wote yuko hooooot[emoji39][emoji39] its my first time to date a mwanaume mweusiiii jamani kumbe watamu hadi watamu tena mpewe maua yenu (Ila ana gubu kulalamika Kila muda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni hayo tu
Nb: muda wowote narudiana na baba watoto wangu, kwake naupooza moyo tu[emoji85]
Siko hapa kuhitaji ushauri wowote, au mwanaume hapana… nimekuja kuwapa maua yao tu wanaume WEUSI WAREFU[emoji7]
😂😂😂😂 hebu fanya urudi kwa baba watoto wakoNa ndefu nene flan hivi[emoji39][emoji39][emoji1487]
Hicho ulichofanya ni sawa? Si una mume wewe na umeenda kutest nje?
Kabisaa,Naona unamtwanga maswali makalimakali sana...muache aenjoy black tall bwana.,anasema hakuwa kuexpirienceUmetoka jasho mzee mwenzangu?[emoji16][emoji16]
Hili unalizungumziaje? Tall n black...Kabisaa,Naona unamtwanga maswali makalimakali sana...muache aenjoy black tall bwana.,anasema hakuwa kuexpirience
Yaani ndio tuna wiki moja tu tangu ukutane na black mimi halafu umekuja kuwasimulia jamvini bibie..
Hapo hata robo ya ufundi sijakuonyesha umeshapagawa kiasi hiki, je nikifungulia koki si utaomba picha yangu iwekwe kwenye noti ya efkumi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwangu naona umechachukaa mnooo, mweeeh.Siku hizi mbona ndio nimepoa kwasababu najiona nimekua mkubwa [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]still unampenda ila mmetengana..... fear women
Kiukweli kabisa,wanaume wafupi huwa Wana akili Sana nadhani ni Ile dhana ya kutotaka kudharauliwa,,, wengi wanakuwa na viconfidence flan hivi na wanafanikiwa Sana..Tall black wengi wanajiamini wanapendwa hivyo wanabweteka so most of them hawafanikiwi Sana .Hili unalizungumziaje? Tall n black...
Sie wafupi kweli tunatengwa sana!!
mbna hujasema "mm kuwa malaya" kama ulivyomsemea mumeo?Yeye ndio kasababisha mm kuwa na huyu na mtu
Kwa hiyo tall na black ni sawa na white na matako makubwa?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kiukweli kabisa,wanaume wafupi huwa Wana akili Sana nadhani ni Ile dhana ya kutotaka kudharauliwa,,, wengi wanakuwa na viconfidence flan hivi na wanafanikiwa Sana..Tall black wengi wanajiamini wanapendwa hivyo wanabweteka so most of them hawafanikiwi Sana .