Wanaume Weusi warefu Pokeeni maua yenu

Wanaume Weusi warefu Pokeeni maua yenu

Hey hey jf members

Jamani nina Kama miezi kadhaa tumetengana na baba watoto wangu ni mrefu mweupe still nampenda hadi kesho kutwa, ana kila sifa nzuri ya mwanamke yoyote kuwa nae isipokua UMALAYA PRO MAX

Sasa tulivyotengana nikapata this guy bwanaaah mweusi mrefu ananyoa kipara ana gym body aiseeeee ni fayaaaaaaa jamaa yuko vzr muda wote yuko hooooot[emoji39][emoji39] its my first time to date a mwanaume mweusiiii jamani kumbe watamu hadi watamu tena mpewe maua yenu (Ila ana gubu kulalamika Kila muda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ni hayo tu

Nb: muda wowote narudiana na baba watoto wangu, kwake naupooza moyo tu[emoji85]

Siko hapa kuhitaji ushauri wowote, au mwanaume hapana… nimekuja kuwapa maua yao tu wanaume WEUSI WAREFU[emoji7]
Yaani ndio tuna wiki moja tu tangu ukutane na black mimi halafu umekuja kuwasimulia jamvini bibie..

Hapo hata robo ya ufundi sijakuonyesha umeshapagawa kiasi hiki, je nikifungulia koki si utaomba picha yangu iwekwe kwenye noti ya efkumi
 
Hicho ulichofanya ni sawa? Si una mume wewe na umeenda kutest nje?

Kuwa na mwanaume mwingine Tena mmoja tu Ndio umalaya??? Na hatuko pamoja miezi 9 Sasa, hujui madhara ya nye*e???? Madhara ya kuwa mpweke??

He used to cheat on me Kila mara ikafika kipindi nikachoka tumepeana space miezi 9 Sasa, mwezi wa 3 nikapata mwanaume mwingine ndio niko nae cheusi wangu
 
Mimi ni mrefu alaf mweusi

Aisee videm vifupi ni hatari yaani viwe vifupi alaf viwe na maziwa makubwa ya wastani alaf Na kitako kikubwa cha wastani Aisee nnaweza round moja nikamaliza dk hata 80 daah hivyo videmu ni hatari
 
Yaani ndio tuna wiki moja tu tangu ukutane na black mimi halafu umekuja kuwasimulia jamvini bibie..

Hapo hata robo ya ufundi sijakuonyesha umeshapagawa kiasi hiki, je nikifungulia koki si utaomba picha yangu iwekwe kwenye noti ya efkumi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa kweli wanaume Weusi shikamooni

Kitu cheusiiii kinatisha lkn kitamu[emoji85] read it at your own risk [emoji3544]
 
Mrefu,mwembamba,mweusi,mpole,hofu ya Mungu ohoooo…nilijua hawa watu hawapoduniani.

Aki nakupenda mpka nakupenda tena.
Unakanafasi kako hivi moyoni❤️❤️

Nakupenda sana na Mungu akutunze kwa ajili yangu..aaawww umejua kuniteka.
 
Hili unalizungumziaje? Tall n black...
Sie wafupi kweli tunatengwa sana!!
Kiukweli kabisa,wanaume wafupi huwa Wana akili Sana nadhani ni Ile dhana ya kutotaka kudharauliwa,,, wengi wanakuwa na viconfidence flan hivi na wanafanikiwa Sana..Tall black wengi wanajiamini wanapendwa hivyo wanabweteka so most of them hawafanikiwi Sana .
 
Kwa hiyo tall na black ni sawa na white na matako makubwa?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom