Wanaume Weusi warefu Pokeeni maua yenu

Wanaume Weusi warefu Pokeeni maua yenu

Hey hey jf members

Jamani nina Kama miezi kadhaa tumetengana na baba watoto wangu ni mrefu mweupe still nampenda hadi kesho kutwa, ana kila sifa nzuri ya mwanamke yoyote kuwa nae isipokua UMALAYA PRO MAX

Sasa tulivyotengana nikapata this guy bwanaaah mweusi mrefu ananyoa kipara ana gym body aiseeeee ni fayaaaaaaa jamaa yuko vzr muda wote yuko hooooot[emoji39][emoji39] its my first time to date a mwanaume mweusiiii jamani kumbe watamu hadi watamu tena mpewe maua yenu (Ila ana gubu kulalamika Kila muda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ni hayo tu

Nb: muda wowote narudiana na baba watoto wangu, kwake naupooza moyo tu[emoji85]

Siko hapa kuhitaji ushauri wowote, au mwanaume hapana… nimekuja kuwapa maua yao tu wanaume WEUSI WAREFU[emoji7]
Me nakuja pm kukutongoza ivo ivo madam utanikataa mbele kwa mbele,inabid kabla hujarud kwa mmeo wanaume weusi warefu km sisi tukuonje kidg
 
Hey hey jf members

Jamani nina Kama miezi kadhaa tumetengana na baba watoto wangu ni mrefu mweupe still nampenda hadi kesho kutwa, ana kila sifa nzuri ya mwanamke yoyote kuwa nae isipokua UMALAYA PRO MAX

Sasa tulivyotengana nikapata this guy bwanaaah mweusi mrefu ananyoa kipara ana gym body aiseeeee ni fayaaaaaaa jamaa yuko vzr muda wote yuko hooooot[emoji39][emoji39] its my first time to date a mwanaume mweusiiii jamani kumbe watamu hadi watamu tena mpewe maua yenu (Ila ana gubu kulalamika Kila muda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ni hayo tu

Nb: muda wowote narudiana na baba watoto wangu, kwake naupooza moyo tu[emoji85]

Siko hapa kuhitaji ushauri wowote, au mwanaume hapana… nimekuja kuwapa maua yao tu wanaume WEUSI WAREFU[emoji7]
sawa

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Eeh story za tdh zimerudi tena jf. Kelsea ur legacy lives on
 
Back
Top Bottom