Wanaume Weusi warefu Pokeeni maua yenu

Wanaume Weusi warefu Pokeeni maua yenu

Kwann unalazimisha awe ni mwanaume ila nyie wanawake hampendani Kabisa,fatilia thread zake zote utaona kuwa ni mwanamke huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu me huwa nasema kila siku mtu huwez kuwaza trauma unayoweza kumsababishia mtu kwa kumlazimisha jinsia isiyo yake na humfahamu in personal,hilo senge nimetoka kulichana kwny uzi wake likaignore
 
Hilo kweli

Kama huyu hajielewi nimeshamwambia nina mtu wangu tumetengana kwasababu kadhaa Et hataki niwasiliane nae na mtu tuna watoto wawili tunapoishi kajenga baba watoto, anataka muda wote tuwe tunawasiliana kila napoenda nachofanya nimwambie wakati m sina malengo nae
Sasa unaharibu mazungumzo yetu ya faragha kuyaleta huku pisikali.

Wewe waeleze jinsi nilivyokushughulikia na kulia kile kilio Cha ajabu huku ukimtukana matusi mazito mzazi mwenzio huku ukidai hujawah kupata kichapo kikali Kama kile na kupelekea shanga yako kukatika[emoji1787][emoji1787]
 
Mbona umepaniki sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sawa basi m mwanaume nimekuja kuwasifia wanaume warefu Weusi… haya endelea kutekeseka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Umekomaa kutype nyoooo


Hivi nyie mnaosema m mwanaume mnajielewa kweli?? Nataka kumtapeli Nani? Na kwa kipi? Sihitaji mwanaume wala mwanamke Sasa natapeli nn? Kichwa maji wewe nitolee ushubwada wako hapo
Nimeishia kukuonea huruma mpendwa
 
Sasa unaharibu mazungumzo yetu ya faragha kuyaleta huku pisikali.

Wewe waeleze jinsi nilivyokushughulikia na kulia kile kilio Cha ajabu huku ukimtukana matusi mazito mzazi mwenzio huku ukidai hujawah kupata kichapo kikali Kama kile na kupelekea shanga yako kukatika[emoji1787][emoji1787]
Hivi wimbo wa DIFFERENT COLORS ONE PEOPLE ni wa Lucky Dube au Bob Marley mkuu😆😬😃
 
Ya Maana sana alafu Kila siku ana vitu vipyaaa


Wakaka weusi warefu kokote mlipoo nasemajeeee mpewe maua yenu mjengewe na sanamu lenu ikulu[emoji126]
😃😃😃😃😬😬😆😆😆😆
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😬😬😬😬😬😬😬😬😃😃😃
Aiseeee🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom