Wanaume Weusi warefu Pokeeni maua yenu

Wanaume Weusi warefu Pokeeni maua yenu

Hey hey jf members

Jamani nina Kama miezi kadhaa tumetengana na baba watoto wangu ni mrefu mweupe still nampenda hadi kesho kutwa, ana kila sifa nzuri ya mwanamke yoyote kuwa nae isipokua UMALAYA PRO MAX

Sasa tulivyotengana nikapata this guy bwanaaah mweusi mrefu ananyoa kipara ana gym body aiseeeee ni fayaaaaaaa jamaa yuko vzr muda wote yuko hooooot[emoji39][emoji39] its my first time to date a mwanaume mweusiiii jamani kumbe watamu hadi watamu tena mpewe maua yenu (Ila ana gubu kulalamika Kila muda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Ni hayo tu


Nb: muda wowote narudiana na baba watoto wangu, kwake naupooza moyo tu[emoji85]


Siko hapa kuhitaji ushauri wowote, au mwanaume hapana… nimekuja kuwapa maua yao tu wanaume WEUSI WAREFU[emoji7]
[emoji1] [emoji1787] [emoji23]
 
Kuwa na mwanaume mwingine Tena mmoja tu Ndio umalaya??? Na hatuko pamoja miezi 9 Sasa, hujui madhara ya nye*e???? Madhara ya kuwa mpweke??

He used to cheat on me Kila mara ikafika kipindi nikachoka tumepeana space miezi 9 Sasa, mwezi wa 3 nikapata mwanaume mwingine ndio niko nae cheusi wangu

Ngoja aoe White sijui utaleta mapambio Mengine humu
 
Back
Top Bottom