cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atakuta hayamoo sasa.Baba baya kachachuka uduguu anataka kuona yaliyomo yamo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atakuta hayamoo sasa.Baba baya kachachuka uduguu anataka kuona yaliyomo yamo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Una uwezo huo? Unajua nilifungiwa kisa nn na nan alinifunguliaa?? Hebu kaa kmyaa, nikikugusa unajiliza kwa modes,
Uniwezee mie, heka heka nastaafu mbna.usiniletee balaa.
Wee hata hukuuhusika, na hata walio husika wenyewe wamenishindwaa.
Km kweli nilifungua I'd ingne, mbna leo niko na hii ya mda??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekesha wee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna itakua hatariiii, ni tafranii tupuu.
Yaan yeye aamue anacheza na ipii ili akate kiu yakee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
M nakusikilza ww tu @ countrywide hanachakunipa siwez msikiliza
Npe ww mwenyewe tena mm wakuja utaniweza kwelkwel
Mwanaume ni kujaribu sio kuhadithiwa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yamekuwa hayo tena hutaki kusikiliza ushauri unataka ujionee mwenyewe?[emoji2222][emoji2222]
Nisikuwez kwan nakubebaNdugu yangu mbona umekomalia sana? Utaniweza lakini [emoji2222]
Nisikuwez kwan nakubeba
Mm mtoto?[emoji87] wewe mtoto utanipa kesi ujue
Mm mtoto?
Usk mwem[emoji2222][emoji2222]
Usk mwem
gerarahiaWe clepetina mbona umemkomalia sn pisi Kali kuwa ni jinsia me...
Achana nae Kama ni me atajua mwenyewe ww changia mada yake tu mengine mwachie mwenyewe.
hakikisha dirisha linafunguka kabla ya safariSiti ya mbele dirishani
Umeona eeh Masai dada? matokeo yake unaanza wewe kumuongoza😁😁😁Mwanaume asiejua na akili ya kutatua changamoto na kukuongoza aiseee hata aweje...
Bantu Lady njoo useme kituHey hey jf members
Jamani nina Kama miezi kadhaa tumetengana na baba watoto wangu ni mrefu mweupe still nampenda hadi kesho kutwa, ana kila sifa nzuri ya mwanamke yoyote kuwa nae isipokua UMALAYA PRO MAX
Sasa tulivyotengana nikapata this guy bwanaaah mweusi mrefu ananyoa kipara ana gym body aiseeeee ni fayaaaaaaa jamaa yuko vzr muda wote yuko hooooot[emoji39][emoji39] its my first time to date a mwanaume mweusiiii jamani kumbe watamu hadi watamu tena mpewe maua yenu (Ila ana gubu kulalamika Kila muda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni hayo tu
Nb: muda wowote narudiana na baba watoto wangu, kwake naupooza moyo tu[emoji85]
Siko hapa kuhitaji ushauri wowote, au mwanaume hapana… nimekuja kuwapa maua yao tu wanaume WEUSI WAREFU[emoji7]
Kwanza ni ubaguzi kama tunavyolia tunabaguliwa na wazungu, waarabu n.k.Bantu Lady njoo useme kitu