Wanaume woooote ni ...........mdada usimwache laazizi wako kwa hili

wewe ni kicheche period. utake ustake habari ndo hiyo.
 
Aseee....
huyu Maria wa Tina hebu apewe ukatibu uenezi..itikadi za Infidelity Social Club.
ngoja nirudi zangu kwa akina Rejao kule Igunga kwa kile chama kipya cha BAKWATA kilichishinda uchaguzi wa ubunge.
 
ungekuwa free ningekutumia mara kwa mara kwa kunipa ushauri/ufafanuzi wa yanayonisibu
 
mahandsome na mapedezyee ni noma kwa kucheat, hawajatulia, waliotulia ni wachache mno mno, na kama ni handsome halafu hana pesa, mashugamani wanamchukua, wengine wanafundishwa hata na marafiki zao kujiuza kwa mashugamani, yaani unaikuta crew wameshajitambua na kuelezana kuwa wao ni mahandsome sana, basi kinachobakia ni kujiuza kwa majimama tu, ana kuwa busy kupita kiasi, kumbe anakucheat na jimama lililomwajiri kwenye kampuni yake.
 
ungekuwa free ningekutumia mara kwa mara kwa kunipa ushauri/ufafanuzi wa yanayonisibu

Pamoja na majukumu ya hapa na pale ya kutafuta ugali wa familia sijawahi kukosa mda wa kuchat na kushauriana na marafiki...
 
Aseee....
huyu Maria wa Tina hebu apewe ukatibu uenezi..itikadi za Infidelity Social Club.
ngoja nirudi zangu kwa akina Rejao kule Igunga kwa kile chama kipya cha BAKWATA kilichishinda uchaguzi wa ubunge.
duh!nimekumiss sana
hapo red:mimi ni muwazi sana ndio maana mnaniona na belong infedelity chember ila nakuapia mkeo ana mambo zaidi yangu
 
iii ishi we maria hata masheikh,padre na wachungaji nao wamo?....shauri yako!

we wapo pia watu wa dini wanaowacheat wake zao kinoma, hata hao mapadre, kesi zao si unazisikiaga kwenye redio na magazeti.
 
Pamoja na majukumu ya hapa na pale ya kutafuta ugali wa familia sijawahi kukosa mda wa kuchat na kushauriana na marafiki...
nitaku-PM kuna issues zinanichanganya
 
Kwa sababu ya ubahili wa wadada wenye vipato. Wameshajijengea kuwa pesa lazima atoe mwanaume... Ukimpa pesa wewe kuna haja gani ya yeye kwenda kwa mashugamami?
 
Dayuum! Shit is poppin’ in this mugh!

MaryTina done started something….
 
kumbe tunafanana
hata mimi nimeapa simuachi kwa namna yeyote

Basi tumemaliza....hayo mengineyo ni kutaka kuutesa moyo bila sababu, kwani hata hukijua huna mpango wa kumuacha.... so what!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…