Wanaume woooote ni ...........mdada usimwache laazizi wako kwa hili

@Arusha, baba mngoni, mama mchagga.

Sio kwamba nawatukana kaka zangu ila nimegundua wanaume wooooote ni malaya
Ukimsikia mwanaume anauponda umalaya basi jua kuna mambo haya:

1.Finencial Statment yake hairidhishi-i.e hata kama anaingiza hela nzuri kwa mwezi majukumu na mikopo vimenzonga
2.Biological defects (physiologically ana matatizo) a.k.a sio buheri wa afya
3.Hofu ya mungu (kuwaza sana life after death) HII IKO DHAIFU

My take:Mdada usije ukawaza kumwacha mmeo/bf kisa umeproove katoka nje.Mmeo kama ni akionea (laki haimpigi chenga) jua unashare na mdada mwenzio/wenzio either kama nyumba ndogo au kwa hit and run stlye.

"WANAOJISIFU WAUME ZAO WAMETULIA wanajidangaya na kama ni mtulivu basi hana hela na au sio handsome"
by Bebii wa JF

kwa hiyo hata nyie ni malaya kama akija handsome unamkubali ila akiwa frafroza ndo unagoma.
 
nimekumiss sana

yaan hata karibu hunipi???

Hehehee Marytina bana….hujaacha tu usokorokwinyo wako?

Ulipotelea wapi lakini wewe mrembo? Au Paw alikuonea?

Haya karibu sana. Na mimi nilikumiss mno.
 
Paw alinionea ila kipenzi changu X plaster kaisikiliza appeal na kujiridhisha
Bye bye wikend njema
Nakiribia kujiondokea
 
..................duh! mbona wanitisha mie loh.............
 
@Arusha, baba mngoni, mama mchagga.

Sio kwamba nawatukana kaka zangu ila nimegundua wanaume wooooote ni malaya
Ukimsikia mwanaume anauponda umalaya basi jua kuna mambo haya:

1.Finencial Statment yake hairidhishi-i.e hata kama anaingiza hela nzuri kwa mwezi majukumu na mikopo vimenzonga
2.Biological defects (physiologically ana matatizo) a.k.a sio buheri wa afya
3.Hofu ya mungu (kuwaza sana life after death) HII IKO DHAIFU

My take:Mdada usije ukawaza kumwacha mmeo/bf kisa umeproove katoka nje.Mmeo kama ni akionea (laki haimpigi chenga) jua unashare na mdada mwenzio/wenzio either kama nyumba ndogo au kwa hit and run stlye.

"WANAOJISIFU WAUME ZAO WAMETULIA wanajidangaya na kama ni mtulivu basi hana hela na au sio handsome"
by Bebii wa JF
wewe binti hebu tutake radhi bwana, mbona umetutusi?
 
Natamani ungekuwa my wife mariaaaaaaaaaaatyna coz umekuwa na mawazo ya kiutu uzima now. Usiwe na presha ktk maisha na kama umelijua hili mie nakutabiria maisha marefu sana wewe na unayempenda.
 
@Arusha, baba mngoni, mama mchagga.

Sio kwamba nawatukana kaka zangu ila nimegundua wanaume wooooote ni malaya
Ukimsikia mwanaume anauponda umalaya basi jua kuna mambo haya:

1.Finencial Statment yake hairidhishi-i.e hata kama anaingiza hela nzuri kwa mwezi majukumu na mikopo vimenzonga
2.Biological defects (physiologically ana matatizo) a.k.a sio buheri wa afya
3.Hofu ya mungu (kuwaza sana life after death) HII IKO DHAIFU

My take:Mdada usije ukawaza kumwacha mmeo/bf kisa umeproove katoka nje.Mmeo kama ni akionea (laki haimpigi chenga) jua unashare na mdada mwenzio/wenzio either kama nyumba ndogo au kwa hit and run stlye.

"WANAOJISIFU WAUME ZAO WAMETULIA wanajidangaya na kama ni mtulivu basi hana hela na au sio handsome"
by Bebii wa JF

Ebu burudika na masongi haya upunguze stress na mihemuko!!

Akon, T-Pain, R Kelly & Twisty - I'm In Love With A Stripper - YouTube
T-Pain - Bartender ft. Akon - YouTube
 
warning kwa anayetaka kuoa mabinti kama hawa bt naweza jua umri wenu?!
mume au mke mwema hupangwa na Mungu
 
@Arusha, baba mngoni, mama mchagga.

Sio kwamba nawatukana kaka zangu ila nimegundua wanaume wooooote ni malaya
Ukimsikia mwanaume anauponda umalaya basi jua kuna mambo haya:

1.Finencial Statment yake hairidhishi-i.e hata kama anaingiza hela nzuri kwa mwezi majukumu na mikopo vimenzonga
2.Biological defects (physiologically ana matatizo) a.k.a sio buheri wa afya
3.Hofu ya mungu (kuwaza sana life after death) HII IKO DHAIFU

Unajaribu kulazimisha neno lako kuwa SHERIA
 
Marytina anahitaji ushauri
Anaonekana kuwa na tatizo kubwa
Wenye hekima kaeni naye taratibu
Pengine kakanyaka pabaya

@Arusha, baba mngoni, mama mchagga.

Sio kwamba nawatukana kaka zangu ila nimegundua wanaume wooooote ni malaya
Ukimsikia mwanaume anauponda umalaya basi jua kuna mambo haya:

1.Finencial Statment yake hairidhishi-i.e hata kama anaingiza hela nzuri kwa mwezi majukumu na mikopo vimenzonga
2.Biological defects (physiologically ana matatizo) a.k.a sio buheri wa afya
3.Hofu ya mungu (kuwaza sana life after death) HII IKO DHAIFU

My take:Mdada usije ukawaza kumwacha mmeo/bf kisa umeproove katoka nje.Mmeo kama ni akionea (laki haimpigi chenga) jua unashare na mdada mwenzio/wenzio either kama nyumba ndogo au kwa hit and run stlye.

"WANAOJISIFU WAUME ZAO WAMETULIA wanajidangaya na kama ni mtulivu basi hana hela na au sio handsome"
by Bebii wa JF
 
Biologically mwanaume ni sawa na wanyama wengine tu. Yaani kuwa na wanawake wengi, kuzaa sana kwa kipindi kifupi.......wenzetu bado wanaendelea kuwa na wanawake wengi lakini sisi binadamu tumejitahidi kuwa na mwanamke mmoja.
......Ndani ya dakika 15 mwanamme anaweza aka....
........Kwa hiyo kutoka nje kwa mwanamme hiyo ni hulka yetu jamani.....

Niongezee katika hizo facts ulizoweka....ustaarabu tuliojiwekea binadam wa kumiliki mwanamke mmoja, unakinzana na asili yetu, sasa kwa kuwa huwezi kuikwepa asili yake, ndio hivyo wanaume tunafanya kwa kificho pale inabidi ili kujaribu kumaintain vyote kwa pamoja ''ustaarabu na asili''

.
 
Nimejitahidi kufuatilia thread hii mchango kwa mchango, lakini nimesikitishwa na baadhi ya wadau (wake kwa waume) kumshukia Marytina kama mwewe ashukiavyo kifaranga. Bahati mbaya wengine mmemshambulia kibinafsi badala ya kushambulia hoja.

Nawaomba wadau muichukulia thread ya Marytina kama changamoto, wanandoa tuombeane na kusaidiana. Naamini wanawake wana mchango mkubwa sana kwenye kulinda na kustawisha ndoa, lakini nawasihi wanaume acheni ujinga wa kutafuta visingizio vya kutoka nje ya ndoa.
 
ni kweli mkuu, kuna mambo mengi ya kurekebisha na kuekea umuhimu kwa pande zote, zungumza na mwenza wako kama imo, imo tu unless otherwise hamtoshani.
 
@Arusha, baba mngoni, mama mchagga.

Sio kwamba nawatukana kaka zangu ila nimegundua wanaume wooooote ni malaya
Ukimsikia mwanaume anauponda umalaya basi jua kuna mambo haya:

1.Finencial Statment yake hairidhishi-i.e hata kama anaingiza hela nzuri kwa mwezi majukumu na mikopo vimenzonga
2.Biological defects (physiologically ana matatizo) a.k.a sio buheri wa afya
3.Hofu ya mungu (kuwaza sana life after death) HII IKO DHAIFU

My take:Mdada usije ukawaza kumwacha mmeo/bf kisa umeproove katoka nje.Mmeo kama ni akionea (laki haimpigi chenga) jua unashare na mdada mwenzio/wenzio either kama nyumba ndogo au kwa hit and run stlye.

"WANAOJISIFU WAUME ZAO WAMETULIA wanajidangaya na kama ni mtulivu basi hana hela na au sio handsome"
by Bebii wa JF

Mbona mimi nimetulia sana, hata siwazii mambo hayo hata ungepita na kimin chako hapa juu ya magoti nakuangalia tu, nawaza mke wanguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!

Utafiti wako hauna ukweli, toa Methodology uliyotumia ku prove kwamba wanaume wote, including wazazi wako ni malaya!!. na umekutana na wanaume wangapi hadi ukafanya conclussion !!!!!
 
@Arusha, baba mngoni, mama mchagga.

Sio kwamba nawatukana kaka zangu ila nimegundua wanaume wooooote ni malaya
Ukimsikia mwanaume anauponda umalaya basi jua kuna mambo haya:

1.Finencial Statment yake hairidhishi-i.e hata kama anaingiza hela nzuri kwa mwezi majukumu na mikopo vimenzonga
2.Biological defects (physiologically ana matatizo) a.k.a sio buheri wa afya
3.Hofu ya mungu (kuwaza sana life after death) HII IKO DHAIFU

My take:Mdada usije ukawaza kumwacha mmeo/bf kisa umeproove katoka nje.Mmeo kama ni akionea (laki haimpigi chenga) jua unashare na mdada mwenzio/wenzio either kama nyumba ndogo au kwa hit and run stlye.

"WANAOJISIFU WAUME ZAO WAMETULIA wanajidangaya na kama ni mtulivu basi hana hela na au sio handsome"
by Bebii wa JF

Mie nilihani ni malaya wa sisi kuwahinga wao? sasa hii imeondoa maana yote. Anaehonga anakuwa malaya? labda huyo useme kijogoo! Malaya ni juvyo ni biashara ya kuuza mwili na kujiingizia kipato.
 
Marytina
Ulipotelea wapi mamito
Karibu tena..

Kuhusu hii thread yako hako ka
Statement cha mwisho kwenye thread
Hiyo iliyoandikwa na bebii..
Kana ka ukweli ndani yake..
 
Back
Top Bottom