GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Kudadadeki.....!!!!!!
Mama samia ni mgombea pekeeView attachment 3416275
Kudadadeki.....!!!!!!
Mbona tulisha funga mjadala kuwa kila mtu anayo haki ya kutafuta furaha cha msingi ni kutokufanya uhalifu tu ...kuchiti siyo uhalifu ni haki ya kibinadamu kutafuta furaha popote ilipo cha msingi usifanye uhalifu tu...kudhani kuwa mke au mume wako anatosheka na wewe ni kujidanganya kipumbavu...kama mke au mume ana cheti ila anaishi na wewe vizuri kwa upendo na amani tatizo ni nini ?View attachment 3416275
Kudadadeki.....!!!!!!
Jamaa yupo real sana sio hawa wasanii wetu wa range rover na appartment masaki alafu wakianza kukohoa wanaomba michango kwa mashabikiAnajiita MNAZINGUA COMEDY.
Huyu jamaa sidhani kama Kuna mtu hapa bongowwnye kipaji cha kuwakanyagia wanawake kumzidi.
Mwamba huko FB anapeleka moto kwa wasimbe na single mamas hadi wanatamani acc yake ifungiwe.
" Kila siku kuwasimanga wanawake kumbe mtu mwenyewe unalala kwenye mashine ya kusaga,alafu upo Dodoma vijijini " hii comment wanawake wanamchapia sana muhuni.