binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Siku nikipigwa?kupiga wanaume si tabia mbaya. kama ni hobi yako we wapige tu haina shida. kama wengine ilivyo hobi yao kupiga makofi wanawake.
Siku nikipigwa?kupiga wanaume si tabia mbaya. kama ni hobi yako we wapige tu haina shida. kama wengine ilivyo hobi yao kupiga makofi wanawake.
Wakuu hebu tumalizie weekend na mada mkangamfu.
Ewe mwanaume ni kitu gani ukikiona kwa mwanamke au mwanamke akikifanya kwako inakukata stimu kabisa yaan turn off.
Mimi nitalist kadhaa
1. Mwanamke mwenye vinyweleo mikononi na miguuni, aisee bora mikononi naweza vumilia ila miguuni pale ameweka miguu mapegani unaichapa nikihisi vinyweleo yaan napoteza mzuka kabisa
2. Mwanamke anaenuka mdomo. Unaweza kuta pisi nadhifu kweli ila akiongea sasa daah, kuna mda huwa najiuliza hivi hawezi hata kuweka mkono karibu na kinywa kudetect kama anatoa harufu mdomoni na kuchukua hatua kama kula PK au pipi zenye harufu nzuru au mint?
3. Mwanamke asievaa pichu, hii sio turnoff ila inanikosesha utamu tu sababu mimi burudani yangu ni kuona mwanamke amevaa kiziba asali tena kikiwa chekundu au cheusi au pink hapo ni balaa
ongezeeni wadau hizi pisi zijifunze
ukipigwa si umepigwa au? 😀Siku nikipigwa?
😂 hunitakii mema, nikajua utaniambia niache kupigana!ukipigwa si umepigwa au? 😀
But why? 🧐Mwanamke mwenye ndevu its big turn off
ukipigwa si umepigwa au? 😀Siku nikipigwa?
binti kiziwi. ukipigwa unarudi kujifua tena mpaka kieleweke.😀😂 hunitakii mema, nikajua utaniambia niache kupigana!
ukipigwa si umepigwa au? 😀Siku nikipigwa?
binti kiziwi. ukipigwa unarudi kujifua tena mpaka kieleweke.😀😂 hunitakii mema, nikajua utaniambia niache kupigana!
😭😭😭😭ukipigwa si umepigwa au? 😀
binti kiziwi. ukipigwa unarudi kujifua tena mpaka kieleweke.😀