WANAUME: Zipi ni turn-offs kwako kwa mwanamke?


Mimi akishasema tuachane...huwa naridhia maamuzi yake...yaani hapo sirudi nyuma mkuu...maana hapo nakuwa nimeshajua na kupata redflag keshampata mwanaume mwingine anayemzuzua na kutokana na huo uzuzu wake huwa namuacha akazuzuke vizuri...na sijui kwanini wakishazuzuka huko wanarudi tena...ukimuuliza nilikosea wapi? Hana jibu...Sasa kwanini ulisema tuachane wakati sijakuelewa? Hana jibu..

Mimi jibu langu ni Moja tu rudi ulipotoka, nafasi yako imeshachukuliwa na mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…