Wanavuta bangi pale Arsenal?

Arteta , lampard , na Ole wote ni mizigo tuu hakuna kocha palee ..
 
Si kila kocha mwenye cv kubwa atafanya vizuri vile vile si kila kocha ambaye hana cv kubwa atachemka. Zidane bila cv kubwa kachukua ucl mara tatu mfululizo
 
Makocha wakubwa kabla ya kuja wanataka kuhakikishiwa hela ya usajili, arteta hana mashariti hayo ndio maana wameona anawafaa.
Mid naipenda arsenal damu, arteta kupe sijapenda ila kisokatusihukumu kwanza pasina matokeo.

Ila binafsi nilipenda aje kocha tayari ana CV iliyoshiba. Carlo angetufaa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani ilikua inawezekana kuchukua wachezaji ukawakuza na ndio maana wenger alifanikiwa sana miaka hiyo . Baada ya mfumo wa soka kubadilika na kua kibiashara zaidi bei za wachezaji zimekua kubwa mno, vilabu vyote vikubwa vinatumia gharama kubwa hata kwa makinda. Sasa hivi bila kutumia hela hamna cha maana.
kumbukeni ata wenger mwenyewe hakuwa na cv lakini aliifanyia arsenal vingi sana so ata ateta hana uzoefu wa kufundisha ila anaijua vema ligi kuu ya england

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bodi ya Arsenal wakitoa fungu kubwa la usajili kwa Arteta basi timu inaeza kuwa upya tn pamoja na kuondoa wachezaji baadhi ktk timu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kila kocha mwenye cv kubwa atafanya vizuri vile vile si kila kocha ambaye hana cv kubwa atachemka. Zidane bila cv kubwa kachukua ucl mara tatu mfululizo
Zidane amekaa kwenye benchi la ufundi la Madrid miaka 6, amekaa pamoja na Allegrin, Crpelo, Mourinho, Anceloti na Benitez , ni uzoefu tosha huo labda uwe kichwa maji tu
 
Wanavuta bangi pale Arsenal, ngoja muda utueleze tujue nani mshindi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna ka ukweli because Arsenal finished 8th place mfululizo in two seasons katika EPL and Arsenal failed to qualify for the major European competition since 1995 under Arteta
 
Mkuu nikurekebishe kidogo , mkataba wa Luis Suarez ulikua unasema timu yoyote itakayolipa zaidi ya paundi milioni 40, wataruhusiwa kumsajili,

sasa Arsene Wenger na ubahili wake akaongeza paund moja tu, ndio ni paundi moja na sio milioni moja (40,000,001) wenger alijua atatrigger release clause ya Suarez, yaani ulikua uhuni wa hali ya juu wa Mzee Wenger ndo maana mmiliki wa Liverpool akauliza huko Arsenal wanavuta nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…