Wanavyowaza wana Yanga kuhusu ubingwa

Wanavyowaza wana Yanga kuhusu ubingwa

Vawulence

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
1,930
Reaction score
2,118
Ni wana Yanga pekee wanaowaza tofauti na binadamu wengine. Wao ndio pekee wanaoamini kuwa Chelsea Atatwaa ubingwa wa English Premier league wakati kazidiwa points 16 na anayeongoza ligi lakini Simba hawezi kamwe kutwaa ubingwa wa NBCPL wakati kazidiwa points 6 tu na anayeongoza ligi.

Akili zao zilichanganywa sana wakati wa kuunganisha mawasiliano.
 
Hapa wanaongelewa wana Yanga au Chelsea? Maana naona mchanganyo ni mkali .
 
Ni wana Yanga pekee wanaowaza tofauti na binadamu wengine. Wao ndio pekee wanaoamini kuwa Chelsea Atatwaa ubingwa wa English Premier league wakati kazidiwa points 16 na anayeongoza ligi lakini Simba hawezi kamwe kutwaa ubingwa wa NBCPL wakati kazidiwa points 6 tu na anayeongoza ligi.

Akili zao zilichanganywa sana wakati wa kuunganisha mawasiliano.
tatizo anayeongoza ligi EPL haaminiki ndo maana watu bado wana matumaini na timu zao kutwaa ubingwa hapa NBC tatizo ni yule anayeongoza ligi akishaongozaga ameongoza ukiongoza basi yeye hajacheza bado ndo maana watu wanaipa ubingwa mapema Yanga,mtoa maada elewa hapo
 
Back
Top Bottom