mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,152
- 3,473
Mbona sie wazanzibar tunajiproud
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna lilojificha hapo?Dar kifursa, kimaendeleo,vyuo vingi pia vipo dar nk, dar imepiga hatua ukilinganisha na mikoa mingine,pamekuwa sehemu ya watu kupakimbilia na kuonekana ukiishi dar wewe ni mjanja,ni vyema sana serikali ingepanua wigo wa uwekezaji katika mikoa mingine, offisi za wizara mbalimbaili sisogezwe kwenye mikoa mbalimbali respectively na shughuli za wizara husika,na pia watumie system za decentralised sio centralised kwamba activities nyingi katika taasisi za serikali eg G. P. S. A ambapo depot zipo mikoani zifanyike huko huko mikoani kupunguza ulimbukeni wa kila kitu kifanyike dar.kwa hizi factors zitaondoa hiyo fallacy kwa kila mtu kujinadi anatokea dar na kupenda makwao,Good morning....
Enzi hizo naanza chuo nlikua nashangaa kila mwana chuo anasema kwao dar, mtu anaongea lafudhi yani kisukuma cha ndani kabisa huko mwamashimba ila ukimuuliza kwao anasema dar tena anajitahidi na kumix kidogo lafudhi ya dar mi naiita kuvunja nazi..... Hiyo mixer ya kisukuma plus kuvunja nazi sasa mweh!!!
Juzi nlikutana na masista duu wa chuo, tunafamiana wakawa wananiaga wanaenda likizo, wa kwanza nikamuuliza home wapi, akajibu naenda dar af kesho kutwa narudi, nikamuuliza kwanini unarudi soon akasema narudi afu ndo naenda home Arusha. Dar kunani huko nami nije? Mtu anaona noma kusema arusha kisa dar?
Wa pili sasa lol nae nikamtel safari njema home wapi, akajibu napita dar kwanza nisipoenda itakua lawama, Ha ha nkauliza tena so home wapi nkaona sura yake imenyong'onyea, imejaa wasiwasi, kwa sauti ya chini akajibu nikitoka dar naenda kigoma kwa mama nilijizuia tu kucheka ila kweli ilinichekesha sana.
Jamani dar kuna nini huko? Wahenga walisema mkataa kwao mtumwa. Wasomi tabia mbaya hiyo kwani ukisema kwenu mwamashimba kuna ubaya gani?
wanavyuo nawatakia likizo njema, BILA SHAKA WOTE MPO NDANI YA SHABIBY KWENDA DAR HAKUNA ALIEPANDA SARATOGA YA KIGOMA LOL
Ha ha ha ha ha mbona diasporaTeh teh..Kuna mshkaji wangu ni Mhaya..Anajiita mwanadiaspora kisa yupo dar..Dar ni nchi mpendwa
Inaonekana ww hauna kimuhemuhe cha kwenda nchi za njeHa ha ha ha ha mbona diaspora
But sio sababu ya mtu kupakana kwaoKuna lilojificha hapo?Dar kifursa, kimaendeleo,vyuo vingi pia vipo dar nk, dar imepiga hatua ukilinganisha na mikoa mingine,pamekuwa sehemu ya watu kupakimbilia na kuonekana ukiishi dar wewe ni mjanja,ni vyema sana serikali ingepanua wigo wa uwekezaji katika mikoa mingine, offisi za wizara mbalimbaili sisogezwe kwenye mikoa mbalimbali respectively na shughuli za wizara husika,na pia watumie system za decentralised sio centralised kwamba activities nyingi katika taasisi za serikali eg G. P. S. A ambapo depot zipo mikoani zifanyike huko huko mikoani kupunguza ulimbukeni wa kila kitu kifanyike dar.kwa hizi factors zitaondoa hiyo fallacy kwa kila mtu kujinadi anatokea dar na kupenda makwao,
Juzi juzi tu nlikua nje, zanzibarInaonekana ww hauna kimuhemuhe cha kwenda nchi za nje
shuka Lash Gadern MkuuKwa hiyo nikifika kwa Iddi nishuke sio........
shuka Lash Gadern Mkuu