Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee nijikute tu nasema bae yupo draaa afu haba gari teh tehafu ana gari, kuna hostel moja ipo mahal sasa najiulizaga ina maana hostel nzima kila.mtu.bwana.ake.ana gari?
Unalala Hall Ipi?Mi mwenyewe nipo udsm hapa lol
Kwenye mahall mapya hapa bro bado hayajapewa majina 😀😀Unalala Hall Ipi?
Sijakuelewa, umesemaje????!!!kumbe kelele zot ww dem chuo umesoma shamba huko !
dar ndo kila ktu waach haw malaya wapagawe
Mafiiilegeza ubongo!
Pangawe aende na shabiby? Anachukua coaster za moro ama Abood, basi!Najua upo ndani ya shabiby, safari njema likizo njema....
Mafiii
Kwetu gamboshMtoa mada bila shaka unatoka wilaya ya kwimba -ngudu ha,ha,ha,ha,
Wa wapi weye, kiembe samaki au kitopewanachuo na dar kama wamemezeshwa!wazenji lafudhi yetu na ustaarabu wetu tu unatufanya tujivunie zenji yetu...kwenu wapi? zenji kijiwe...dar njia kuu tu.
Mwanakwerekwe haloo!Wa wapi weye, kiembe samaki au kitope
Yan we kiboko Yao,nipitie na me hapa kwa iddi twende wote,hahahahaPoa karibu, mie home dar, maeneo ya ngaramtoni unapanda gari za sakina