Wanavyuo, kwanini huwa mnaona noma kutaja majumbani kwenu?

Wanavyuo, kwanini huwa mnaona noma kutaja majumbani kwenu?

Sijawahi kua ashamed na chuga mkoa nilikozaliwa na hata nilivyokua chuo nilikua napenda kutupia t-shirt zenye maandishi kama 'MY HOME TOWN ARUSHA' , au 'PROUDLY FROM ARUSHA' na sio mimi tu karibia raia wote tuliokua tunatokea chuga tulikua na tabia hiyo... Huko dar mbona ni kijijini kwa bibi tu haha kidding
 
Mtoa mada bila shaka unatoka wilaya ya kwimba -ngudu ha,ha,ha,ha,
 
wanachuo na dar kama wamemezeshwa!wazenji lafudhi yetu na ustaarabu wetu tu unatufanya tujivunie zenji yetu...kwenu wapi? zenji kijiwe...dar njia kuu tu.
 
wanachuo na dar kama wamemezeshwa!wazenji lafudhi yetu na ustaarabu wetu tu unatufanya tujivunie zenji yetu...kwenu wapi? zenji kijiwe...dar njia kuu tu.
Wa wapi weye, kiembe samaki au kitope
 
Back
Top Bottom