Wanawake 500 wapata mimba kwa upandikizaji Arusha

Hii inshu ya IVF, huwa ni msaada kwa yupi... Ni mwanaume ndiyo hana uwezo wa kutia mimba? ama ni mwanamke ndiyo hana uwezo wa kunasa mimba?

-Kaveli-

Mwanamke hana uwezo wa kubeba mimba!
 
Daaah umenibariki sana [emoji848]
 
Kwani hyo mbegu inayosafirishwa kwenda kwa mke Ni zangu au za mtu mwingine

Kam Ni zangu bas sawa Kama Ni za mtu mwingine itakuwa vigumu kuitwa Bab
 
Nini kimefanya wenyewe washindwe kupandikiza na Arusha ni baridi? Au nao wameambukizwa udhaifu toka Namanga na Taveta

sehemu ya uzazi imekuwa mlima senkenke kuupanda .
mwanaume kama una mke unaona uzazi ni mgumu wanachukua manii zako na kuziboresha ili kufanikisha uzazi wa mwanamke kupata mimba
 
Sasa hapo mwanamke anachagua mbegu au asili ya mtoto anayoitaka. Au anawekewa tu iwe ya Msukuma au Mmakonde.
 
Hii inshu ya IVF, huwa ni msaada kwa yupi... Ni mwanaume ndiyo hana uwezo wa kutia mimba? ama ni mwanamke ndiyo hana uwezo wa kunasa mimba?

-Kaveli-
IVF ni msaada kwa mwanamke mara nyingi. Sababu ili IVF ifanyike sperm analysis inafanyika kujua kama Baba uko vizuri.

Pia, inaweza kuwa msaada kwa Baba sababu sperm nazo zina mambo mengi... unaweza kuambiwa zipo vizuri lakini badala ya kwenda mbele zinarudi nyuma.
 
Wanaotaka huduma ya kubebewa mimba jamani (surrogacy) , kizazi kipo available. Inbox me. [emoji51] No seriously, isn't surrogacy a thing yet in Tz??
Kenya kuna cases za hivyo but kabla mtoto hajazaliwa mama mbebaji akazingua mbaya.

Wanaofikiria hii kitu. Hakikisheni kuna mikataba mikali kati yenu
 
(1) ni jaribu Mungu amekupatia ili akutumie kupata utukufu na kuwa fundisho kwa wengine, mwisho wa jaribu la aina hii huwa ni furaha na kicheko milele.
Na kunaliana na namba Mbili kama moja wapo ya sababu, hiyo namba moja mimi nina ukakasi nayo Kwa uweza wa Mungu kama mafundisho Vyema hakuna kichojificha kwake; Sasa Amjaribu mtu ili iweje? Maana Kabla hajakujaribu Anajua kabisa kabisa kwamba Huyu ataweza au Hawezi? sasa kama ana information zote anamjaribu mtu vipi? kwamba hana uhakika kama huyu atafanikiwa au la?
 
kwani ibrahim na sara kwanini walifungwa tumbo, kama unaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…