Doctor Mazuguni Nicholas huyu jamaa bingwa nawafahamu baadhi ya watu alio wasaidia wengine wanaumri mkubwa kabisa ambao sikuamini watazaa naomba kuwashauri wa Tanzania hii ni technology nzuri na salama kabisa tena imechelewa kuanza nchini kwetu huko kwa wenzetu ni kawaida kabisa, wanawake muda wa kulia, kushinda makanisani kwa wasaka tonge, kwenda kwa waganga kumaliza pesa kwa wahuni acheni mnapoteza muda changamkieni hii fursa wanaume msiwaache wake zenu kisa uzazi tafuteni pesa mfanye matibabu ya IVF inawezekana kabisa kuwa na familia nzuri na yenye afya msinyanyase hao kina mama wasaidieni.