Wanawake acheni kujichosha

Ewaaaaaa unajua nn ...napenda ulivyomakini ..una take notes sana ..

Yaaahhh unajua nilikua lke " hizi nywele nizako kweli au umeunganishia sijui nn"" nalishindwa kutambua
Hahahaha..napenda ulivyo makini na unavyomiliki
 
Utakuta mwanamke unajitutumua kwa nguvu zote ili aonekane ni wa ghali au wa garama wakati wanaume hata hawajui tofauti kati ya Brazilian hair na manyoa ya kondoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo garama ni gharama..! Kabla sijamtongoza mdada huwa naangalia kama yuko natural, face, hair, kucha, meno, smile, matakp na lugha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…