Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Doh kweli asee nimeelewa sasa. Ila ujumbe wangu umeupata vipi kuko wazi PM nije?Soma vizuri, nimeandika me as in men, na sio me as mi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Doh kweli asee nimeelewa sasa. Ila ujumbe wangu umeupata vipi kuko wazi PM nije?Soma vizuri, nimeandika me as in men, na sio me as mi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hyo aje pm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi ni ke bana
Kuna mawili kakosea kweli au kajichanganya[emoji23] [emoji23] [emoji23] hizi id hiziUlinitisha hata mimi mkuu ujue[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] aiseeWala usijisumbue , awe yeye aringe mkuu??
Wanawake wazuri huwa hawaongei km huyu jamaa anavyoongea kika siku humu.
Hakuna nilipokosea ila yeye ndo kakosea kusoma au kuelewa.Kuna mawili kakosea kweli au kajichanganya[emoji23] [emoji23] [emoji23] hizi id hizi
Hata huko pm kwenyewe sipajui[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hyo aje pm
Vizuri kama umeelewaDoh kweli asee nimeelewa sasa. Ila ujumbe wangu umeupata vipi kuko wazi PM nije?
Sawa. Sehemu ya pili ya ujumbe huo mbona ume ignore? Au ndio umenipa green light tayari?Vizuri kama umeelewa
Hahahaha..napenda ulivyo makini na unavyomilikiEwaaaaaa unajua nn ...napenda ulivyomakini ..una take notes sana ..
Yaaahhh unajua nilikua lke " hizi nywele nizako kweli au umeunganishia sijui nn"" nalishindwa kutambua
Siyo garama ni gharama..! Kabla sijamtongoza mdada huwa naangalia kama yuko natural, face, hair, kucha, meno, smile, matakp na lugha.Utakuta mwanamke unajitutumua kwa nguvu zote ili aonekane ni wa ghali au wa garama wakati wanaume hata hawajui tofauti kati ya Brazilian hair na manyoa ya kondoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana usije, hakuna njia mkuuSawa. Sehemu ya pili ya ujumbe huo mbona ume ignore? Au ndio umenipa green light tayari?
Kama mungejua tunachofurahia hakika maisha yenu yangekuwa mepesi mno!Hahahaha
Leo nasubiria watu waanze kukana nywele zao!!
Hapa kila mdada ni nywele og tuu
Ninong'oneze hebuKama mungejua tunachofurahia hakika maisha yenu yangekuwa mepesi mno!
Okay. Nitaendelea kuulizia siku ikiwepo utaniambia.Hapana usije, hakuna njia mkuu
Acha uchokoziJF bwana leo kila mtu ana miliki nywele OG [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani nimemchokoza nani?Acha uchokozi
Sisi wenye nywele OG [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani nimemchokoza nani?
[emoji23][emoji23][emoji23] samahani jiraniSisi wenye nywele OG [emoji16]