Wanawake acheni kujichosha

Wanawake acheni kujichosha

Utakuta mwanamke unajitutumua kwa nguvu zote ili aonekane ni wa ghali au wa garama wakati wanaume hata hawajui tofauti kati ya Brazilian hair na manyoa ya kondoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo garama ni gharama..! Kabla sijamtongoza mdada huwa naangalia kama yuko natural, face, hair, kucha, meno, smile, matakp na lugha.
 
Back
Top Bottom