Wanawake acheni kujichosha

Wanawake acheni kujichosha

Ila kweli mleta mada kidogo umeongea point ila izo urembo zenu mtumie mnapokutana au kuwa na mahusiano na watu wa kitengo cha u miss wale kina mzee HASHIM LUNDENGA
 
Jamaa hujui tu ila umeongea bonge la point yaani.

Sijui tuwapateje ili waelewe hili jambo. Wanahainga hadi huruma yaaani.
 
Utakuta mwanamke unajitutumua kwa nguvu zote ili aonekane ni wa ghali au wa garama wakati wanaume hata hawajui tofauti kati ya Brazilian hair na manyoa ya kondoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom