D
Deleted member 485868
Guest
Acha ukorofi bebeWala usijisumbue , awe yeye aringe mkuu??
Wanawake wazuri huwa hawaongei km huyu jamaa anavyoongea kika siku humu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ukorofi bebeWala usijisumbue , awe yeye aringe mkuu??
Wanawake wazuri huwa hawaongei km huyu jamaa anavyoongea kika siku humu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Brazillian hair zinadumu muda mrefu, hayo manyoya ya kondoo utanunua kila siku.
Relax bro, she needs some one to understnd her.Wala usijisumbue , awe yeye aringe mkuu??
Wanawake wazuri huwa hawaongei km huyu jamaa anavyoongea kika siku humu.
NakaziaBrazillian hair zinadumu muda mrefu, hayo manyoya ya kondoo utanunua kila siku.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Brazilian umeanza mfyuuuuu
Sawa sawa , kweli kila ndege hutua kwa mti aupendao eeeehhh Au sio !!Relax bro, she needs some one who understnds her.
And Here I am ..
Ata sio ukorofi bebe , wee mwenyewe wajua Avatar za humu sio halisi...ndomaana jamaa akauliza, ulishawah mkimbia mtu baada yakukuta sio uliyetegeme???Acha ukorofi bebe
Hahahhah...ebu niache babyAta sio ukorofi bebe , wee mwenyewe wajua Avatar za humu sio halisi...ndomaana jamaa akauliza, ulishawah mkimbia mtu baada yakukuta sio uliyetegeme???
Hata ivo hata kama niyeye bado hajakufikia hata robo maana mmhhhh weee mwanamke...
Jomoniiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo zamu yetu
WooooooooooozeeeeeeeerrrrHilo ni dongo kwao wajifunze kujua wanawake wa garama na wa bei rahisi
Hayajui kitu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utakuta mwanamke unajitutumua kwa nguvu zote ili aonekane ni wa ghali au wa garama wakati wanaume hata hawajui tofauti kati ya Brazilian hair na manyoa ya kondoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jomoniiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona umewageukia wenzako sasa, nashukuru kwa kutupumzisha, kaaazi kaaziiiii