Wanawake acheni kulazimisha ndoa

Wanawake acheni kulazimisha ndoa

Wanawake sikuizi mmekuwa na msongo wa mawazo kisa umri umeenda na ulipanga kuolewa ukiwa 25yrs ila hakuna dalili wengine mmekuwa mnabeba mimba ovyo kutegemea watawaoa mbaya sana iyo

Jikite kutafuta pesa kama ndoa ipo utaolewa ila jikite kupata maokoto kama umri unaenda na unataka mtoto ukibeba mimba kwa kudhamiria ila mwanaume alikuwa ataki na kabla uja beba weka akilini mwanaume akikataa utalea mwenyewe bila kumsumbua kwasababu wewe ndio mwenye shida na mtoto sio yeye


Kuna wanawake wengine wapo vizuri sana ana mwambia kabisa mwanaume na mimba analea mwenyewe mwanaume asipo mtunza hana muda analea na kumtunza mwanae na mtoto akitaka kumuona baba yake ana muona kwa wakati bila pangamizi hamjazi sumu mtoto ili amchukie baba yake

Ila sasa ninyi wengine mlio kuwa mnataka ndoa mkakosa mkaishia kubeba mimba mnasumbua sana mnafanya watoto kama ndio kitega uchimi wenu yaani unashida na hela ya kusuka una ibuka kwa baba mtoto matusi kibao unajua mwanao anakula nini anavaa nini haipendezi
Watu wameshtuka siku hizi, hawaoi
 
uwezi kuvaa viatu vya musa baharia kwenye bahari ya mapenzi.
IMG_0486.jpeg
 
Kuna vifaa kwa mwanaume kupigia kunyeto tofauti na midoli ya kizungu?

Ila mwanetu ndoa haikufai kabisa utakuwa ni mtu wa gubu kwa wanawake,🤣🤣
Ahahah hapana sema sijapata mwanamke anaeleweka mm ni mpole sana
 
Wachaga wapo maeneo tofautitofauti mkoani Kilimanjaro usituweke kundi moja.
Mfano kule rombo mtoto anazaliwa hadi anabalehe hajui mswaki lakini meno meupe pee.
Ukija kibosho hata wakishindia miswaki meno yao yanakua na rangi utadhani wanashindia tumbaku
Na old moshi je 😂
 
Back
Top Bottom