Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Unasema ivyo sisi kuna kipind fulani tulikuwa tumekaa maskani mida kama ya saa 3 usiku ivi akapita jamaa na demu wake bahati nzuri jamaa alitusalimia huku demu wake akiwa kanuna wanaelekea njia ina giza yaani kuna uchochoro hamna taa washkaji baadhi wanajua kasema yule na demu wake hwako sawa
Basi tukaendelea kula stori nyingine kama dk 40 baadae tusikia mwizi watu wanatoka si tukaona twende tunafika tunamkuta yule demu analia pembeni jamaa kashikwa ila kapigwa damu mpaka puani anasema "mm sio mwizi jaman" na kuna jamaa tulipofika akammulika na tochi ya simu kumuona ni jamaa itabdi amkinge na sisi tukaingia kati kumkinga ila kashachakaaa usoni na wenye mapanga ndo wanakuja mda huo tukampa chance aongee jamaa akasema ye sio mwizi alimpiga tu demu wake kisa waligombana na alimpiga huko uchochoroni makofi yaaani njiani
Demu aliulizwa akakiri mwenyekiti akampiga kofi kwa nn ampigie mwenzie kelele ya mwizi usiku ule kisa kampiga