Wanawake acheni roho mbaya

Wanawake acheni roho mbaya

Unasema ivyo sisi kuna kipind fulani tulikuwa tumekaa maskani mida kama ya saa 3 usiku ivi akapita jamaa na demu wake bahati nzuri jamaa alitusalimia huku demu wake akiwa kanuna wanaelekea njia ina giza yaani kuna uchochoro hamna taa washkaji baadhi wanajua kasema yule na demu wake hwako sawa

Basi tukaendelea kula stori nyingine kama dk 40 baadae tusikia mwizi watu wanatoka si tukaona twende tunafika tunamkuta yule demu analia pembeni jamaa kashikwa ila kapigwa damu mpaka puani anasema "mm sio mwizi jaman" na kuna jamaa tulipofika akammulika na tochi ya simu kumuona ni jamaa itabdi amkinge na sisi tukaingia kati kumkinga ila kashachakaaa usoni na wenye mapanga ndo wanakuja mda huo tukampa chance aongee jamaa akasema ye sio mwizi alimpiga tu demu wake kisa waligombana na alimpiga huko uchochoroni makofi yaaani njiani

Demu aliulizwa akakiri mwenyekiti akampiga kofi kwa nn ampigie mwenzie kelele ya mwizi usiku ule kisa kampiga
 
Unasema ivyo sisi kuna kipind fulani tulikuwa tumekaa maskani mida kama ya saa 3 usiku ivi akapita jamaa na demu wake bahati nzuri jamaa alitusalimia huku demu wake akiwa kanuna wanaelekea njia ina giza yaani kuna uchochoro hamna taa washkaji baadhi wanajua kasema yule na demu wake hwako sawa
Kuna wanaume wanatetea upuuz , yatawakuta tu
 
Kwamba jamaa anataka kopo la kisamvu duh mambo ni mengi mda ni mchache
 
kuna jamaa fulani dreva wa mafuso hulu kitaani alizua balaa mtaa mzima..

alikuwa anambembeleza mke wke ampe kijambio lakini mke akawa hataki..
huku akimwambia aseme aliewahi kumpa then ndo atampa!mke alikuwa na mzigo yule yaani yuko arusha anajambia mbeya!!
huyu mke alikuwa na kihoteli ndo sehem tulikuwa tunakula sana lunch..akawa anatueleza jamaa anavyomsumbua kutaka jicho..
siku hiyo tuko bar mara wakaja mtu na mke wake!!
jamaa kampa pombe yule mke balaa..
nikamwambia msela wangu chek jamaa anakojolea glas ya bia ya mke wake..
mke kurudi akanywa ile bia daahh nilicheka siku hiyo balaa..
kesho yake tumeenda kula pale yule mama hana raha kabisa kila saa anaguna tuu
 
Yule mwanamke ni muongo mkuu , jamaa alilia sana hawez fanya matendo hayo machafu
Kulia kwake hakuthibitishi kuwa mwanamke alidanganya, pengine alifanya hivyo ili kujisafisha tu
 
We unajuaje kama jamaa hakutaka kisamvu cha kopo?
Usimuamini binadamu ndgu yangu kila mtu ana siri zake ambazo hataki mtu mwingine ajue.
 
Ikiisha inakuwa imekwisha....tumeambiwa tuishi nao kwa akili
 
Back
Top Bottom