Wanawake acheni tamaa, mnajidhalilisha

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipooo.
 
Vilevile sijawahi kujifanyanya mwanamke humu katka post au comment zangu, pia nshawahi badili Id ( munch wa annabelletz47)
 
Ha ha haaa hawa watu baadhi yao wamekuwa kama hawana akili nzuri, maana mkishaanza tu mawasiliano chap tu mtu anakimbilia salio., oooh nina shida, ooh mam anaumwa, oooh ntakurudishia mmmh kazi ipo kwa hawa raia., wanaume inatakiwa kukaza na kutumia salio zetu kwa akili.
 
Wajameni ukiona mpenzi/mkeo anakusumbua kukuombaomba pesa nawe huna au hutaki kumpa tafadhali sana nitumie namba yake PM mambo ni kusaidiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…