alumn
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 2,370
- 3,163
Kumbe mda mwingine ata nyie mnawaonaga wenzenu wapumbafu?
Safi Sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mda mwingine ata nyie mnawaonaga wenzenu wapumbafu?
Safi Sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
DM kumbuka walikua wapenzi.haaha waambie tu hao wanandugu wamfariji ndugu yao katika kipindi hichi kigumu.
sasa jamaa tayari ana mpenzi wake mwingine muda wa kumfariji x unakua mdogo sana.DM kumbuka walikua wapenzi.
Ndo ajibane hana namanasasa jamaa tayari ana mpenzi wake mwingine muda wa kumfariji x unakua mdogo sana.
ungemtatua marinda tu huyo ni malaya kama wanaojiuza javaWanawake ukifikiria unashindwa kuelewa hawa watu akili zao zinafanyaje kazi, zinazunguka ant-clockwise ama nini?
Nilikua na mpenzi wangu, akawa ananichukulia poa, nikajua huyo ana mwanaume mwingine anaempa kiburi tu, sikujali sana, kapigwa mimba huko na mshikaji kakataa mimba, nashangaa akaanza kunitafta na kuniomba nimsamehe, nikashangaa, nikauliza imekuaje ikabidi aniambie ukweli, akawa analazimisha tuonane tuongee, nikaona isiwe shida, nikamkubalia, nikamsikiliza, kisha kwa hasira nikamtafuna, kesho yake nikaweka picha ya mpenzi wangu mpya kwenye whatsapp, ndugu yake ananipigia simu eti amezimia, nimsaidie mimba isije kutoka, nikamuuliza ndugu yake kwani hiyo mimba ni yangu? Wao wananiomba niwe nae karibu kumfariji maana mwenye mimba hapatikani wala hajulikani alipo.
Najiuliza hivi wanawake akili zao zinafikiriaje? Alipokua ananichukulia poa alijua siwezi kupata mwanamke mwingine?? Watu wengine wapumbavu sana.
Aliona amalizie mkonoumesema ukamla, kwahy ukaona bora uongeze viungo vya mtoto kwenye mimba ya huyo jamaa.?
Wanawake ukifikiria unashindwa kuelewa hawa watu akili zao zinafanyaje kazi, zinazunguka ant-clockwise ama nini?
Nilikua na mpenzi wangu, akawa ananichukulia poa, nikajua huyo ana mwanaume mwingine anaempa kiburi tu, sikujali sana, kapigwa mimba huko na mshikaji kakataa mimba, nashangaa akaanza kunitafta na kuniomba nimsamehe, nikashangaa, nikauliza imekuaje ikabidi aniambie ukweli, akawa analazimisha tuonane tuongee, nikaona isiwe shida, nikamkubalia, nikamsikiliza, kisha kwa hasira nikamtafuna, kesho yake nikaweka picha ya mpenzi wangu mpya kwenye whatsapp, ndugu yake ananipigia simu eti amezimia, nimsaidie mimba isije kutoka, nikamuuliza ndugu yake kwani hiyo mimba ni yangu? Wao wananiomba niwe nae karibu kumfariji maana mwenye mimba hapatikani wala hajulikani alipo.
Najiuliza hivi wanawake akili zao zinafikiriaje? Alipokua ananichukulia poa alijua siwezi kupata mwanamke mwingine?? Watu wengine wapumbavu sana.
Msijenge visasi vya mapenzi na wanawake...ndivyo walivyo.
Ukifuatilia hakuna cha maana tunachopata wanaume zaidi ya faraja na heshima kwao. Hata mkeo utakayekuja kimwoa ukimfuatilia tabia zake hutaoa.
Hawajaumbiwa shida...udambwiudambwi ndiyo sehemu zao...hivi vingine hawana namna tu.
Mmmmh!!! Hukuwa na haja ya kujielezea sana kwasababu wewe ndiyo unajijua na ukizingatia humu tunatumia fake IDs..Mungu nitetee haya mabalaa yanipite mbali huko, binafsi naamini katika uaminifu pindi mkiwa wapenzi, mimi hapa Aidanna huwa siwezi kuweka pochi manyoya yangu rehani hivyo hadi mimba kweli yani siwezi.
Tena kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja ndy siwezi kabisa maana nitamwambia tu ninayedate naye.
Nimejifunza kuridhika sana na ndy maana naadhi ya watu hawanielewagi sana
sahihi kabisa mkuuMsijenge visasi vya mapenzi na wanawake...ndivyo walivyo.
Ukifuatilia hakuna cha maana tunachopata wanaume zaidi ya faraja na heshima kwao. Hata mkeo utakayekuja kimwoa ukimfuatilia tabia zake hutaoa.
Hawajaumbiwa shida...udambwiudambwi ndiyo sehemu zao...hivi vingine hawana namna tu.
hutakiwi kumuwekea kisasi ,katafute hela kwanza ndio urudi kwani hujawajua tu wanawake na ukubwa wote ulionao!?You are in love ndugu nd maana wasema hvyo..!!ht mimi nlkuwa nawatetea hvyo hvyo
Just imagine
Alidanganya n bkr kumbe co(nkamsamehe kwakuwa nampenda)
But then akaja kunichukulia poa nlpomaliza chuo coz ckuwa na ajira
And unaexpect mimi niwe okay nae...!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda wewe na fake id, mood ya leo ni kuandika andika tuMmmmh!!! Hukuwa na haja ya kujielezea sana kwasababu wewe ndiyo unajijua na ukizingatia humu tunatumia fake IDs..
Pale shetani anapokuwa malaika, mood ya leo ni kuandika andika tyuuuuuuuuuuuuuMwanamke mwenye bikra ndio uoe. Ndio umpende. Huyo ni wako. Huyo ndiye mke wako.
Huyo mwenye bikra ukimpata. Msamehe hata kama ukimfumania.
Mwanamke mwenye bikra huyo ndio ubavu wako. Huyo ndiye mwenye heshima yako.
Hao wengine ni nguo ya mtumba. Ilishavaliwa na wengine. Inamakando kando ya wengine.
Mwanamke mwenye bikra hawezi kukufanyia hayo.
Bikra oooh! Bikra ndio wimbo wangu kwa vijana.
Tafuta bikra uoe.
Ukipata bikra usiiharibu kama huna mpango wa kuoa.
Haribu vilivyoharibiwa.
Fanya mapenzi kiholela na walioharibiwa. Kilichoharibiwa ni halali kuharibiwa.
Kipya ni halali kutunzwa na kuheshimiwa.
Haya tuyie shime. Himahima tukaharibu vilivyoharibiwa.
Tuvitunze vilivyojitunza.
Takataka hutupwa Dampo. Hufagiliwa. Twendeni tukafagie takataka.
Vijana nisikieni. Gari jipya hujifunzi nalo udereva. Magari machakavu ndio ya kujifunzia. Gari mpya ni mwanamke mwenye bikra. Kamwe usijifunzie mapenzi kwake. Usije ukamuumiza.
Mwanamke asiye na bikra huyo ni gari chakavu. Ni ruhusa kujifunzia udereva. Haya ukiligonga kwenye mti ni sawa kwa maana ni gari lililochakaa.
Vijana hima hima