the say
JF-Expert Member
- Oct 25, 2014
- 2,772
- 3,360
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aidanna Aidanna Aidanna Aidanna Aidanna Aidanna Aidanna Aidanna. Mudi ya Leo ..Mood ya leo ni kuandika andika mudi instead of mood
Daah rafiki wa nyoka ni nyoka usiunde urafiki naye utageuka nyokaWanawake ukifikiria unashindwa kuelewa hawa watu akili zao zinafanyaje kazi, zinazunguka ant-clockwise ama nini?
Nilikua na mpenzi wangu, akawa ananichukulia poa, nikajua huyo ana mwanaume mwingine anaempa kiburi tu, sikujali sana, kapigwa mimba huko na mshikaji kakataa mimba, nashangaa akaanza kunitafta na kuniomba nimsamehe, nikashangaa, nikauliza imekuaje ikabidi aniambie ukweli, akawa analazimisha tuonane tuongee, nikaona isiwe shida, nikamkubalia, nikamsikiliza, kisha kwa hasira nikamtafuna, kesho yake nikaweka picha ya mpenzi wangu mpya kwenye whatsapp, ndugu yake ananipigia simu eti amezimia, nimsaidie mimba isije kutoka, nikamuuliza ndugu yake kwani hiyo mimba ni yangu? Wao wananiomba niwe nae karibu kumfariji maana mwenye mimba hapatikani wala hajulikani alipo.
Najiuliza hivi wanawake akili zao zinafikiriaje? Alipokua ananichukulia poa alijua siwezi kupata mwanamke mwingine?? Watu wengine wapumbavu sana.
Mithali 11:22Wanawake akili zao cjui zpoje....kuna dem nlkuwaga nae...alikuwa ananchukulia poa balaa..!!ndugu zake pia nkiongea nao dharau kbao..
Nikaamua kujitoa...nkatafta maisha maana walileta dharau kwakuw ndo nlkuwa nmemaliza chuo na ajira sina
Juzi ndugu yake alipita maeneo nnayofanyia biashara alishangaa kuona biashara imekuwa kubwa mno
Na yule dem nae ameanza kutuma meseji...!!
Yan watu kama hawa hutakiw hata kuonana nao....acha past iwe past
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo moodless leoAidanna Aidanna Aidanna Aidanna Aidanna Aidanna Aidanna Aidanna. Mudi ya Leo ..
Humuonei huruma mwenzio kapitiwa na shetaniHapa ndio wahenga tunasemaga... mwana kuyataka mwana kuyapata
Huyu hajielewi
Mungu nitetee haya mabalaa yanipite mbali huko, binafsi naamini katika uaminifu pindi mkiwa wapenzi, mimi hapa Aidanna huwa siwezi kuweka pochi manyoya yangu rehani hivyo hadi mimba kweli yani siwezi.
Tena kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja ndy siwezi kabisa maana nitamwambia tu ninayedate naye.
Nimejifunza kuridhika sana na ndy maana naadhi ya watu hawanielewagi sana
Umeniuliza wewe, mbona unarukia rukia mada za watu.
Unamaanisha bikra ipi?Pale shetani anapokuwa malaika, mood ya leo ni kuandika andika tyuuuuuuuuuuuuu
Njoo kwangu nitaitani mudi yako oni....Nipo moodless leo
😀😀😀😀😀😀😀najikuta nacheka tu, kwa kuwa Mimi na wewe tuna mood ya kuandika andika leo
Sure