Barn
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 2,734
- 4,042
Wakati naanza chuo mwaka wa kwanza nilikua nakaa hostel, sasa kuna jamaa flani alikua yeye mwaka wa tatu tulizoeana kama brother na alikua ameoa kabisa huko kwao pale alikua anajiendleza tu kielimu, sasa Mimi mwaka wa pili nilitaka kuondoka hostel nihamie mtaani nkamwambia yule bwana mkubwa kua anitafutie room huko mtaani maana ye alipanga, akanambia "mdogo wangu usijali Mimi naondoka nitakuunganisha na Landlord wangu pale ninapokaa uhamie wewe halafu ukitaka na vyombo nitakuuzia vyangu coz siondoki navyo" akanambia siku Fanya uje uvicheki ucheki na chumba ukiridhika tufanye biashara.
kweli weekend moja nikampigia simu nakuja akanambia poa utanikuta sehemu flani, nimeenda nkamkuta sisi hao hadi kwake, kufika nikacheki room ipo fresh na vtu vipo fresh tu nikamuuliza sh. Ngapi sasa akaanza ooh vile ni wewe mi nitakupa tu bure nikamuliza kwa nini unipe bure akaniambia naomba unifanyie kitu kimoja, kitu gani? Mara akasogea nakuanza kunishika shika ndevu, kifua, Mara kagusa mkuyenge.
Aiseeee nilimdaka kabali moja hatari nkampiga kichwa cha pua damu zikawa zimenirukia kwenye Shati langu jeupe nikaondoka kurud hostel nimefika washikaji wananiuliza Shati vipi nkawapa mkasa ndio wakaniambia yule mbona shoga!
Nilifadhaika sanaaa nilitamani nirud nikamkate tena mitama