Puppy
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 2,995
- 2,513
Kwahiyo jicho uliliona?Nakumbuka christmass 2006 nikiwa natokea mitaa ya kujinafasi nipo njian nikakutana na jamaa mmoja barabarani na tukasalimiana fresh tu,tukawa tunaongozana uelekeo mmoja.
Baada ya mwendo wa dakika km 3 akaanza kuniambia nimsaidie kupiga mzigo atanipa 20000! Kwa kohoro changu nikawa namhoji mzigo gani!? Akawa ananizungusha kuniambia, yeye anang'ang'ania mm nipige mzigo atanipa hiyo pesa maana nlikua napiga hesabu za kupiga hata mzinga wa konyagi,nyama kilo na bia 7 kesho yake kwa hiyo pesa maana ilikua inatosha kabisa nikakubali, ndipo akafunguka nikamfire kichakan. Nilimwelekeza sehemu maana nilikua nipo jiran na hom hivyo n mwenyeji hapo, kabla ya kufanya yetu nikaomba hiyo pesa kwanza na akanipa! Ile kuvua suruali na boxer yake na kuinama tu nilopiga teke moja la kushindilia likamfanya aangukie uso mimi nikatoka nduki kama nilivokimbizwaga na mbwa miaka miwili kabla ambapo mbwa wenyewe walihisi mm n Seleman Nyambui. nafkir yy aliona zile mbio n risasi.
Hapakuwa na Foreplay?
Siku nyingine usipende kudanganya watu wengi hivi