Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Iliwahi nitokea kitambo pale best bite makumbusho..mdada sijui mkenya yule..nmeagiza kinywani nasubr danga langu..khaa!! Yule kuku alijua kuniharibia mood yangu ..kaja kukaa nilipokaa anaanza kunisifia una ngozi nzuri..mara una umbo zuri..nimekupenda nitakupa utakacho...aiseee..nikamwambia dada jiheshimu aisee..nitakumwagia pilipili hautonisahau..mwingine alikua anaitwa monica anakaa moshi hyu nae alikua ananisumbua vibaya sana miaka kadhaa uko facebook eti ooh nmekupenda nitakupa chochote utakacho..nitakuoa pia..nilimpa jibu hilo hakurudia tena kunisumbua..mxiuuuuu
 
Sikumbuki kutongozwa live na msagaji ila kuna dada nilikutana nae Sinza alikua na rafiki zangu wa kiume. Nilivyoenda hiyo bar nikamkuta. Tukajikuta tunapiga story balaa na mwishoni akaniomba namba nikampa sababu aliniambia anaandaa event mkoa fulani hivyo niende nikampe kampani kama naweza nikamwambia hamna shida. Nilichukua namba yake ila sikumtafuta sababu sikuona cha kuongea nae.
Siku moja napitia status za rafiki angu mara nikamuona yule msichana. Nikamuuliza unamjua huyu akasema eeh namjua we unamjua pia. Nikamwambia huyu ndo yule mdada mzuri niliekwambia nilikutana nae Sinza akanipa namba yake. Huyo rafiki angu alicheka jamani. Akasema nishukuru nimekuokoa. Angekusaga huyu. Huyu ni msagaji maarufu sana dodoma. Yani kujifanya hupendi michezo ya ajabu huyu angekusaga nakwambia maana mngesafiri ungelala nae kitanda kimoja ukijua mwanamke mwenzio kumbe anakumendea.
Naomba namba yako bibie nina event naiandaa nchi jirani ningependa kampan yako kama hutajali.
 
Nakumbuka christmass 2006 nikiwa natokea mitaa ya kujinafasi nipo njian nikakutana na jamaa mmoja barabarani na tukasalimiana fresh tu,tukawa tunaongozana uelekeo mmoja.
Baada ya mwendo wa dakika km 3 akaanza kuniambia nimsaidie kupiga mzigo atanipa 20000! Kwa kohoro changu nikawa namhoji mzigo gani!? Akawa ananizungusha kuniambia, yeye anang'ang'ania mm nipige mzigo atanipa hiyo pesa maana nlikua napiga hesabu za kupiga hata mzinga wa konyagi,nyama kilo na bia 7 kesho yake kwa hiyo pesa maana ilikua inatosha kabisa nikakubali, ndipo akafunguka nikamfire kichakan. Nilimwelekeza sehemu maana nilikua nipo jiran na hom hivyo n mwenyeji hapo, kabla ya kufanya yetu nikaomba hiyo pesa kwanza na akanipa! Ile kuvua suruali na boxer yake na kuinama tu nilopiga teke moja la kushindilia likamfanya aangukie uso mimi nikatoka nduki kama nilivokimbizwaga na mbwa miaka miwili kabla ambapo mbwa wenyewe walihisi mm n Seleman Nyambui. nafkir yy aliona zile mbio n risasi.
 
Hahahaaaa
 
Hahahaha
 
Bro umenikumbusha Mbali sana. Naomb kila cku Mungu anisamehe, nlitongzwa na mashoga wawili ila wote nlfanikiwa kula mzgo sababu ya shdah 2, tena wanakata mauno zaid ya Hawa dada ze2, anakwambia kbs ntkpa raha hujawai pwa dunia hii na wk vzr.. samahni kwa watakaotoa povu, ipo cku ntaleta uzi khs Hawa viumbe
Hata usiulete usije kutuchefua.
 
Umenikumbusha jamaa yangu mmoja maeneo ya mlimani city enzi samaki samaki inafunguliwa,
Jamaa kapiga bia zake kaona ngoja anyanyuke kwenda msalani,mara paap anahamaki dushe limeparamiwa na jamaa na mawani yake, makamu ya 40 years hiv!!!huku anamsifia unadushe la haja.
Hee jamaa ikabidi achumpe kama dolphine vile,kumbe yule bwana shoga,mtu na masters yake tena boss wa kampuni kubwa tu ya simu maeneo ya moroco,
Sema jamaa hakupiga.
Anaevaa miwani sio yule alikua boss wa simu kule kule mlimani city kweli maana nae ndo michezo yake hiyo.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom