Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Kuna Demu nlikua nae,..kaka yake alikua na michezo ya kishoga..daily ananilazimisha nimkae..jamaa yupo vizuri kiuchumi but sikua na mzuka na ushenzi ule..siku moja my galfrend simu yake ilikua mbovu nkampa my iPhone 5s and ile simu ukitumia vitu vinajisevu kwenye icloud...demu kunirudishia simu nkakuta usaliti wake ,ushenzi wake wote..kulipa kisasi nkamuita kaka yake..ni gay hata family yao inajua nkamwambia nimekubali kumla choo.akafurahi sna tukapanga appointment nkakutana nae..hotel room nkamueka mikao kama Nambandua huku narecord..yupo naked nipo nimevaa Calvin Klein boxer..jamaa anataka dushe,nkazuga nkamtoroka bila Kula mzigo..then zile pics na video clips nkamtumia dada yake..haha haha haha kilichotokea..anyway jioni njema
 
kitendo cha kuwa kaka yake ni shoga ilibidi ujitenge na familia hiyo mapemaaa
 
Siku moja mtoni kwa azizi ali, kuna marafiki zangu saa 1usiku tulikuwa ikweta bar, wao wanakunywa bia kwa kawaida mi natumia soda, mpaka kufika saa 4usiku tukaondoka kurudi mtaani, cha kushangaza kuna jamaa mmoja alikuwepo pale na marafiki zangu, huyu jamaa akawa ananifuata mimi kwani wale marafiki zangu kila mmoja kala kona kivyake. Jamaa amenifuata hadi naingia home. So nikawa najiuliza huyu jamaa vp kwani, kufika home nikaingia chumbani na yeye kumuacha nje. Siku ya pili kuwauliza washkaji kuhusu yule jamaa[emoji38] [emoji38] [emoji38] wakaniambia jamaa ni punga, aliwanunulia bia washkaji ili wakamfukunyue marinda lakini washkaji wakala kona na kumwambia yule punga kuwa mi ndio ningemshughulikia[emoji13] [emoji13] [emoji13] Dunia hii.
Washkaji waliniuza kwa bia tu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Kilitokea nn aisee [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji14]
 
Mkuu what happened
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti walinitegesha mimi wakati wao ndio walimnywea bia zake, washenzi sana wale[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Mwaka flan nikiwa advance pale usagara mkoani Tanga kuna siku nilitoka shule jioni mida ya saa 11 bac narud zangu hostel lakini njiani nilipitia supermarket ndogo ivi maarufu kidogo ipo side road sasa nikiwa mle ndani kuna jamaa alikuwa ananiangalia sana lakn sikumzngatia sasa ile natoka nikavuka barabara nkashangaa yule jamaa ananikimbilia cha ajabu stori za yule jamaa zilinihuzunisha kwan alinisihi sana kama naweza nikampakue hata huohuo muda na kama ikiwezekana atanipa ata pesa kidogo heeee jaman nilishangaa sana na jamaa alisema atanipa pesa cjui kwa vile nilkua nimevaa uniform ko akajua labda me mwanafunz basi nina shidashida ila kiukwel tuombe sana dunia ilipo sipo ugay sio mzur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona umetumia neno Sunnah katika Upuuzi wako mkuu au mimi ndo Sijaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah nilitongozwa na msagali aisee kule WhatsApp na alinipigia video call kabisa huku aliwa anajishikashika papuchi yake kulalek
 
Uandishi wako unanitia mashaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu samahani . Mbona watu humu wanasema wewe ni mchicha mwiba ? Hata mi nakuhisi kutokana na picha zako
Emu funguka mkuu, sorry lakini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii thread iko hivi:
1. Hakuna sehemu yoyote member aliyokiri kuwa aliwahi kutongoza ili akasage. Wote wanasema walitongozwa na wasagaji ingawa mmoja pekee aliona isiwe tabu akafanya. (Ke)
2. Hakuna sehemu yoyote member yoyote wa kiume aliyekiri kuwa aliwahi kutongoza ili akale tope. Wote imetokea bahati mbaya tuu wakajikuta kwenye huo mtiti (Wamelazimishwa) Wachache wanakiri kufanya. Hakuna sehemu member aliyekiri kuliwa tope.

Kwa maana hiyo sasa kutokana na ukubwa wa hii thread pages 17 na kutokana na uchangiaji. Kwa mamlaka niliyopewa NAITANGAZA RASMI TANZANIA KUWA NCHI TAKATIFU KUTOKANA NA DHAMBI ZAKE KUWA CHAAAAACHE SANA.

HONGERA TANZANIA! UPO PAHALA PAZURI MUNOOO....TEMBEA KIFUA MBERE! WEWE NI LINCHI TAJIRI KIMAADILI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…