Mimi hadi sasa nasumbuliwa na wadada 2 mtu na mama ake mdogo, ni marafiki zangu kitambo ila nilikuwa sijui kama wana kamchezo huko, ila walikuwa wakarimu sana jamani na mimi nikawa nawafanyia ukarimu japo walikuwa wanaonyesha kutokuhitaji, siku waliponifungukia nilishangaa na kwa kweli nilikimbia, kwanza walilewa sana na mimi situmii pombe, nikaamua kuwarudisha kwao ili nami niende kwetu, sasa ile nafika tu na kuwaingiza chumbani mmoja kufunga mlango Kasema hutoki leo, nikajua utani tu, wakatoa vifaa vyao pamoja na sex dolls kila saizi, nilitetemeka mno kidogo nizimie, sasa mmoja karukia titi mwingine kiuno na usumbufu mwingi, nilitumia Akili nyingi kuliko nguvu kuwakimbia, niseme tu imani yangu ndo iliyonisaidia vinginevyo ingekuwa kwisha habari yangu, maana ni kama wamesomea, Na tangu siku hiyo sijawahi kaa nao meza moja hata kwa maongezi Ila bado wananipa zawadi mbalimbali na hunifuata kazini ila nyumbani nimewapiga marufuku, hatari sana hawa watu