Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

hahahaaa umenikumbusha jamaa yangu alikuwa na kapikipiki kake akitoke kati ya mji, akaona sio kesi ngoja apitie pale kwa macheni, alipofika pale akaagiza bia zake mbili, akazikata fasta, ghafla akaja muhudumu na bia mbili zingine, akamwambia jamaa yako amekuagizia, mwana bila kujiuliza akapiga, ataka kumaliza, zikaja tena mbili, mmh, jamaa akauliza ni nani anakutuma akaambiwa jamaa yule pale, kidogo ukaja mchemsho, jamaa kichwa ikaanza kuchaji, akaona hapa lazma nimuone anayeniagizia, wakati anamaliza mchemsho sasa ndio likaja pandikizi la dume, na yeye ndio anainuka, kwanza akashikwa tako, dah jamaa akahamaki, akaambiwa tulia kijana, mambo madogo tu haya, usijali utazoea unaonekana we ni mpya mambo haya bado huna uzoefu nayo, usijali hata wenzako walikuwa wakali kama wewe, akashikwa tena tako, janaa ilimchomoka ngumi moja matata sana, yule bazazi chali, damu kibao, cha ajabu alipoinuka akamuagizia aletewe bia tatu, kwani kijana anaonekana sildi, mshikaji alivyosikia hivyo akaanza kukimbia huku akipiga kelele, na pikipiki akaisahau, alipofika maskani ndio akaja kuomba msaada turudi nae afuate pikipiki...
Nimecheka sanaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu mim nauliza tu...kwan ile kanuni ya ukiona unaitiwa kwenye fursa ujue wewe ndio fursa yenyewe kwenye uzi huu kwani haiusiki.?
Nikiwa na maana shoga akitaka ukamnanii isiwe wewe ndo unataka kwenda kunaniliwa...?

Maana inaogopesha aisee...


Am out!
 
Siku moja nilikuwa nafanya mazoezi nikakutana na jamaa mmoja nae alikuwa anafanya mazoezi,badae tukafika sehem kama jamaa tu wa kawaida,tukawa tunabadilishana mawazo,ila kiukweli jamaa alinishawishi vp mpaka nikajikuta sikimbii tena na kuanza kupiga Stori ndo sikuelewa,Ila badae kadri tulivyokuwa tunatembea,jamaa akawa anazidi kunisogelea na badae alikuja akaanza kunigusa sehem mkunyenge upo,badae ikabidi afunguke kuwa anataka nikamkune,nikamwambia mi siwezi na hata kama tukienda, mkunyenge hautasimama kbs utagoma katu katu,nikamuaga kistaarabu nikaendelea na jogging yangu,Ila nilihisi kabisa jamaa ame spoil siku yangu
Mkasa mwingine nilipataga demu mmoja hv wa kihindi kwenye magazet ya advertising dar,anaitwa Mehjabin,sasa kumbe ye lengo lake alikuwa anamtafutia uncle wake mtu wa kumkuna,alikuwa shoga,basi akawa ananiambia kuwa uncle wake Yuko poa na ana kila kitu Ila anataka mtu wa kumkuna kwa kipindi cha miezi miwili atakapokuwa hapa bongo, nikamwambia sifanyagi ujinga huo,hyo ndio mikasa miwili ya mashoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka uboyzini secondary moja ivi mkoa wa Pwani miaka mingi imepita...uyu alikuwa dogo kidato cha chini yangu alikuwa akinisumbua sana nimfundishe hesabu akati me hesabu nlikuwaga kawaida tuu..Alikuwa anavizia mda watu wote hawapo ndo anataka nimfundishe ana vipensi vyake vifupi na amejazia tako akijilaza kitandani unamtamani kabisaa....nashkuru Mungu skumfanya lolote ila naskia kuna watu walikuwa wanamtumia. Alikuja kutimuliwa na mkuu wa shule siri ilipomfikia na ilikuwa shule ya Dini. Nakumbuka siku baba yake amekuja kumchukua mtoto wake kwa kufukuzwa alikuwa na huzuni sana aliegemea kisuzuki chake mpaka anatia huruma haamaini .Yaani mtoto unamtegemea kuwa kidume kumbe SHOGA. Wazazi mnaojifanya mko busy sana na kazi watoto wadogo mnawaacha Home na watu wasioeleweka jichungeni!
hyo shule siyo WALI UR ASR (WIPAZ) KIBAHA maana kwa seminary za pwani hyo shule ndiyo huwa ina skendo hizo
 
Kwamba tunatamani wanawake wenzetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo pana elimu kubwa in vigumu kuelezea ila Kwa ufupi ujajua kwanini wanawake uwasifia watoto wa kiume kuwa wazuri Kwa kuwa sura zao zinafanana na zakike kike hii inadhibitisha kuwa ni rahisi mwanamke kuvutiwa na sura nzuri ya mwanamke mwenzake.mfano unaye rafiki wa kike mwezako na nimzuri sana ni rahisi kumtamani au kutamaniana
the way she talk
the way she look
the way she love


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikumbuki kutongozwa live na msagaji ila kuna dada nilikutana nae Sinza alikua na rafiki zangu wa kiume. Nilivyoenda hiyo bar nikamkuta. Tukajikuta tunapiga story balaa na mwishoni akaniomba namba nikampa sababu aliniambia anaandaa event mkoa fulani hivyo niende nikampe kampani kama naweza nikamwambia hamna shida. Nilichukua namba yake ila sikumtafuta sababu sikuona cha kuongea nae.
Siku moja napitia status za rafiki angu mara nikamuona yule msichana. Nikamuuliza unamjua huyu akasema eeh namjua we unamjua pia. Nikamwambia huyu ndo yule mdada mzuri niliekwambia nilikutana nae Sinza akanipa namba yake. Huyo rafiki angu alicheka jamani. Akasema nishukuru nimekuokoa. Angekusaga huyu. Huyu ni msagaji maarufu sana dodoma. Yani kujifanya hupendi michezo ya ajabu huyu angekusaga nakwambia maana mngesafiri ungelala nae kitanda kimoja ukijua mwanamke mwenzio kumbe anakumendea.
Ile safari ya dodoma vipi white ulipona kweli....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom