Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Niongee Ukwel tu, Jina langu la Ukwel kabisa ninalotumia facebook limenifanya nipate marafiki wengi sn kwa muda mfupi tu nlishafikisha marafiki 5000.
Wengi wa marafiki nliopata ni Mashoga walinifata inbox wakiniomba niwe nao wengne ni wanawake wakiniomba niwafire, Mim ni mwanaume shababi baada ya usumbufu kuzid nikaona isiwe shida ngoja nijaribu kwan wana ladha gan hawa?nikamkamata mmoja nikampa kile alichokua anataka, wengne bado ni watoto wadogo ukimuuliza ana miaka mingap eti ni Under 20.
Nikichojifunza ni kua Idadi ya wanaume inapungua kila cku halafu hizi shule za Boys(boarding) zinachangia kwa kiasi kikubwa kuzalisha mashoga
 
wewe ni shoga mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uzi kuhusu hii issue ulisha toka au bado

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka uboyzini secondary moja ivi mkoa wa Pwani miaka mingi imepita...uyu alikuwa dogo kidato cha chini yangu alikuwa akinisumbua sana nimfundishe hesabu akati me hesabu nlikuwaga kawaida tuu..Alikuwa anavizia mda watu wote hawapo ndo anataka nimfundishe ana vipensi vyake vifupi na amejazia tako akijilaza kitandani unamtamani kabisaa....nashkuru Mungu skumfanya lolote ila naskia kuna watu walikuwa wanamtumia. Alikuja kutimuliwa na mkuu wa shule siri ilipomfikia na ilikuwa shule ya Dini. Nakumbuka siku baba yake amekuja kumchukua mtoto wake kwa kufukuzwa alikuwa na huzuni sana aliegemea kisuzuki chake mpaka anatia huruma haamaini .Yaani mtoto unamtegemea kuwa kidume kumbe SHOGA. Wazazi mnaojifanya mko busy sana na kazi watoto wadogo mnawaacha Home na watu wasioeleweka jichungeni!
 
Very true indeed!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahah we jasiri na laki ukavuta
 
hili janga limekuta watu wengi..usipotongozwa live basi mtandaoni...yani unatumiwa hadi picha ..ukifanya investigation utaona hatari namaajabu unadelete kila kitu....hii ni laana kabisa
 
duh kazi kweli kweli, ila Madame B kitambo sana ulipumzika nini?
 
Hahahaha ina maana wote mliruka viunzi vya hao mashoga ndo uzuri wa JF na mashoga wenyewe wanachangia mada et na wao walitegua mitego ya mashoga
wasiotegua hawasemi wala hawana muda na thread hii......kweli kabisa watu wamekimbia wamekwepa....
 
mkuu idadi yet ishakuwa ya kutafuta kwa tochi sa hiv...ndio maana vurugu zimezidi
 
duh ulinasa kwenye tego.....pole sana
 
wewe ni askaRI...na pesa ukasepa nayo bila kunasa mtegoni
 
vitasa lazima vihusike ili asiendeleze ujinga huo..
 
washkaji zako sio..masihara sana haya hahaha
 
kuna jamaa anatafuna gays mpaka sasa idadi ni over 250 na sadly alisemaga alivoanza ni hapo hap boarding mwenzaka alimshika mara akkanza kumfanyizia tangu hapo anawasaka badoo na njia zingine zote za kawaida..true story can not go to details,...but umafia na intelligence ndio imefanya kuwa na hiz info...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…