Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Ndo fantasy yako iyo?
So gayish!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah,hii nimecheka sana yan[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Me naona mashoga ni watu ambao tunatakiwa tujifunze namna ya kushi nao ktk jamii zetu,kwa sababu kwenye jamaa zetu kuna watu hatari zaidi ya hao mashoga,tatzo kubwa la shoga ni iyo homosexual basi hana madhara mengine zaidi ya hayo,

Rushwa,ujambazi,ubinafsi haya ndio matazo yanayoirudisha nyuma jamii

Mashoga wapo na huzaliwa ivyo wengine sasa kuwachukia inasaidia nini ni kujifunza tu namna ya kuishi nao na kukubali mapungufu yao ktk jamij zetu

Simaanishi naunga mkono ivyo vitendo lahasha lakini uwepo wao ktk jamii zetu hauepukiki tujifunze tu namna ya kuishi nao na kukubali mapungufu yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…