Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hii mbona kawaida siku hizi, mimi imewahi kunitokea mara mbili . Mhindi mmoja ameniomba nimfanye kinyume na maumbile nikamwambia NO. Ila juzi kanitumie -Happy Valentine's Day Cowman-
Ungemlia hela na kinywaji kwanza.
 
Kuna part2 tuisubiri?
 
Dah mkuu nikikumbuka shoga moja lilivyonisumbua nafafhaika sana....nilitamani kumuua
 
Mimi hadi sasa nasumbuliwa na wadada 2 mtu na mama ake mdogo, ni marafiki zangu kitambo ila nilikuwa sijui kama wana kamchezo huko, ila walikuwa wakarimu sana jamani na mimi nikawa nawafanyia ukarimu japo walikuwa wanaonyesha kutokuhitaji, siku waliponifungukia nilishangaa na kwa kweli nilikimbia, kwanza walilewa sana na mimi situmii pombe, nikaamua kuwarudisha kwao ili nami niende kwetu, sasa ile nafika tu na kuwaingiza chumbani mmoja kufunga mlango Kasema hutoki leo, nikajua utani tu, wakatoa vifaa vyao pamoja na sex dolls kila saizi, nilitetemeka mno kidogo nizimie, sasa mmoja karukia titi mwingine kiuno na usumbufu mwingi, nilitumia Akili nyingi kuliko nguvu kuwakimbia, niseme tu imani yangu ndo iliyonisaidia vinginevyo ingekuwa kwisha habari yangu, maana ni kama wamesomea, Na tangu siku hiyo sijawahi kaa nao meza moja hata kwa maongezi Ila bado wananipa zawadi mbalimbali na hunifuata kazini ila nyumbani nimewapiga marufuku, hatari sana hawa watu
 
Yaani wewe ni ni rungu kwani sio KIBOKO TENA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mengi huwa hayapigi simu yanatiririka kwa message tu, ukilihoji wewe nani, linakuwa tayari jina sijui limekuona Tigo Pesa au M- Pesa, utashangaa linakwambia FULANI yaani ndo unajifanya leo hunifahamu ?

- Ogopa sana usiwe karibu nao wala kuhudhuria mialiko yao, utaisoma namba huko nyuma
 
kila mtu anasumbuliwa, wale wanaopiga wapo kimyaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…