Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1481]
Ulishaambiwa waliopo mitandani ndio hao walio mtaani..
Mwanaume kbs unamruhusu another man on ur back penetrate his d***k!
Tumeisha Jah bless us😓😓😓😓😓😓😓😓😓😓😓
 
Mwanaume kbs unamruhusu another man on ur back penetrate his d***k!
Tumeisha Jah bless us[emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]
Sio other man kuingiziwa..m najiuliza huyu anaye ingiza ana akili timamu kweli?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyewe ndo nimejua, swali la siku nyingi kuhusu jinsia yake kalifumbua mwenyewe.
Mmm haya tuna comment wakati mwingine ukijua huyu yupo hivi kumbe daa MUNGU atusaidie kwakweli, ndiyo maana MUNGU aliamua kuanua dunia kisa Sodoma na Gomola
 
Mashoga si watu kabsa,niliwahi kukutana na wa3 m1 fb 2012 mwingine baa pale shugarey sokota na mwingine KKoo,wacha nielezee wa kkoo.

Huyu jamaa alikua mwepesi sana wa kuzoea watu,ilikua 2014 alikua dukani mimi na jamaa angu tulisimama nje akaja akasalimia na utani juu dk 0 mara tumecheka na mazoea yakaanza. Akamwambia jamaa nimeipenda jinsi yako akasema kaleteqa na bos toka China. Shoga akaanza kuadisia kule Canada zinauzwa bei flan lakini ni OG. Akachomekea lakini Wamasai ndio huvaa jinsi sababu wanamitarimbo mikubwa je nyie ni wamasai? Jamaa akajibu hapana mimi ni msambaa,mi nikala gunzi,shoga akajichekesha akasema anavyojua wasambaa wakitahiriwa wanaachiwa kingozi kidogo chini je yeye anacho? Jamaa akachek kiutani bas mada ikaisha.

Akasema basi yeye ni mtu wa watu na anapenda kucheka na kila mtu sio vibaya kama tutabadilishana namba za simu. Akachukua simu zetu na kujibip mwenyew. SIKU YA KWANZA IKAISHA

BAADA YA SIKU 3 nikakutana nae nikiwa nimebeba mzigo kwenye mikono yote akanishika kwenye uume na kutania "mbona unaogopa wewe vitu vya kawaida" nikajib sijazoea ndo mana bas akaondoka akadai ana haraka. Lakini siku hiyo nilihisi jamaa si wa kawaida.

ZIKAPITA KAMA SIKU 2 akanipigia simu usiku saa 5,asee hawa watu tuwaombee sana,yan swaga zake kama za kike,anauliza

Shoga: ushalala saiv?
Mimi: nikajib ndio
Shoga: mbona mapema
mimi: kawaida yangu
shoga: umelalaje?
mimi: tutaongea kesho nimechoka
shoga: mh! Umevaa nguo au boxer tu
mimi: joto hili huwez lala na manguo
Shoga: karibu tutale bas
nikamkatia simu. Akapiga sikupokea.
Kesho yake akapiga muda ule ule ananikaribisha nikalale naye lakini nisimguse kitobo chake, asee hapo ndio nikajua jamaa si riziki. Nikafikisha stori kwa jamaa angu nae alikua anachat nae ba kupiga simu usiku,alisumbua sana. Ni stori ndefu kidogo. Ila nilikuja kumblock na miadi yake kibao sababu kimaisha yuko powa,alikua na frem kkoo.
 

Bora ulimblock tu
 
Kwani na wanawake nao hutongozwa na gays? For what exactly? Au mi ndio sielewi elewi
 
Uzi wako umeni kumbusha zaman wakati tuna ishi Tanga nilikuwa nanrafiki yangu alipendwa na shoga basi lile shoga siku moja lika mwambia mshikaj "we daudi siku nikikupata kheeee" basi yule daudi alikuwa akimuona yule shoga jamaa lazima ajifiche
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…