toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,612
- 4,721
Ndo nani huyo?weka picha
Kibabu haja dead,we utakua unasema yule rafiki ake alikua anaitwa babu g
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibabu haja dead,we utakua unasema yule rafiki ake alikua anaitwa babu g
Sasa kama hujawahi kufanya utajuaje raha yake? Jaribu kwanza hutoacha nakuhakikishiaHivi mnapataga raha gani kufanya mapenzi kinyume na maumbile?huu ni ushetani believe me
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1481]Kumbe tupo na mapunga umu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫 Ni hatr na nusu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1481]
Ulishaambiwa waliopo mitandani ndio hao walio mtaani.
Mwanaume kbs unamruhusu another man on ur back penetrate his d***k![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1481]
Ulishaambiwa waliopo mitandani ndio hao walio mtaani..
Aaah mkuu hata huyo me nlijua nmeopoa mrembo wa jfSiyo huyo tuu, kuna mwingine anajiita "cocastic" Mambo ni mengi mkuu
Sio other man kuingiziwa..m najiuliza huyu anaye ingiza ana akili timamu kweli?Mwanaume kbs unamruhusu another man on ur back penetrate his d***k!
Tumeisha Jah bless us[emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]
Kchwa kzto....perfectBado hujafungua tu codes kaka?? Mbona jibu tayari kabisa!
Huyu cocastic si ni mdada JamaniAaah mkuu hata huyo me nlijua nmeopoa mrembo wa jf
Huyu cocastic si ni mdada Jamani
Mbona hatari sikujua jamani
Mmm haya tuna comment wakati mwingine ukijua huyu yupo hivi kumbe daa MUNGU atusaidie kwakweli, ndiyo maana MUNGU aliamua kuanua dunia kisa Sodoma na GomolaMwenyewe ndo nimejua, swali la siku nyingi kuhusu jinsia yake kalifumbua mwenyewe.
Asee, all time niljua ni mwanamke kutokana na michango yake mingi humu.Mwenyewe ndo nimejua, swali la siku nyingi kuhusu jinsia yake kalifumbua mwenyewe.
Mashoga si watu kabsa,niliwahi kukutana na wa3 m1 fb 2012 mwingine baa pale shugarey sokota na mwingine KKoo,wacha nielezee wa kkoo.
Huyu jamaa alikua mwepesi sana wa kuzoea watu,ilikua 2014 alikua dukani mimi na jamaa angu tulisimama nje akaja akasalimia na utani juu dk 0 mara tumecheka na mazoea yakaanza. Akamwambia jamaa nimeipenda jinsi yako akasema kaleteqa na bos toka China. Shoga akaanza kuadisia kule Canada zinauzwa bei flan lakini ni OG. Akachomekea lakini Wamasai ndio huvaa jinsi sababu wanamitarimbo mikubwa je nyie ni wamasai? Jamaa akajibu hapana mimi ni msambaa,mi nikala gunzi,shoga akajichekesha akasema anavyojua wasambaa wakitahiriwa wanaachiwa kingozi kidogo chini je yeye anacho? Jamaa akachek kiutani bas mada ikaisha.
Akasema basi yeye ni mtu wa watu na anapenda kucheka na kila mtu sio vibaya kama tutabadilishana namba za simu. Akachukua simu zetu na kujibip mwenyew. SIKU YA KWANZA IKAISHA
BAADA YA SIKU 3 nikakutana nae nikiwa nimebeba mzigo kwenye mikono yote akanishika kwenye uume na kutania "mbona unaogopa wewe vitu vya kawaida" nikajib sijazoea ndo mana bas akaondoka akadai ana haraka. Lakini siku hiyo nilihisi jamaa si wa kawaida.
ZIKAPITA KAMA SIKU 2 akanipigia simu usiku saa 5,asee hawa watu tuwaombee sana,yan swaga zake kama za kike,anauliza
Shoga: ushalala saiv?
Mimi: nikajib ndio
Shoga: mbona mapema
mimi: kawaida yangu
shoga: umelalaje?
mimi: tutaongea kesho nimechoka
shoga: mh! Umevaa nguo au boxer tu
mimi: joto hili huwez lala na manguo
Shoga: karibu tutale bas
nikamkatia simu. Akapiga sikupokea.
Kesho yake akapiga muda ule ule ananikaribisha nikalale naye lakini nisimguse kitobo chake, asee hapo ndio nikajua jamaa si riziki. Nikafikisha stori kwa jamaa angu nae alikua anachat nae ba kupiga simu usiku,alisumbua sana. Ni stori ndefu kidogo. Ila nilikuja kumblock na miadi yake kibao sababu kimaisha yuko powa,alikua na frem kkoo.
Mbona hatari sikujua jamani
Wanasema raha ya nanga itoke na tope... #Mabaharia 27:8