Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,177
- 1,090
Story ya huyu jamaa niliwahi kuambiwa na mshikaj wangu mmoja mlinzi ktk hotel moja pale mwenge aisee sikuamini kama ni kweli ila nimeona hapa inabid niamini maana jamaa pia ni kama usoni ana jipaka mkorogo.
Huyo mlinzi alipita naye nn[emoji23][emoji23][emoji23]