Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Mzee umenivunja mbavu aisee maana hii kali
 
Nyie ndo mnaharibu vitto mtaan

we unazani vitoto vy secondary vinaanzaje ushoga kama watu kama nyinyi hamwashawishi

Ukiachangaja na mihemko vilivyo navyo si ndo mnaharibu ninyi
 
Wanaume tubaki kuwa wanaume bhana... Si poa kuliwa.... bora wanawake wasagane kuliko mwanaume kuliwa... ni hasara kwa taifa
 
Tubu hii dhambi
 
[emoji23]
 
Zali linidondokee na mimi jamani, natamani kutongozwa
 
Kuna wakati natafakari haya mambo,

Nadhani kila mtu afanye kinachomfurahisha yeye kwasababu mapenzi hayafanyiki hadharani.

Kwasababu wapo wanaume wanaochukia sana ushoga na mashoga lakin wanawaingilia nyuma wanawake.
Kwa hapa Dar haya mambo ya ushoga na usagaji yapo sana sana kila kona.
Kwasisi tunaokunywa pombe hawa watu tunakutana nao kila mahali hapa mjini.
Sioni haja ya kuwachukia kwasababu hawatulazimishi kufanya wanachofanya wao, tuwaache watajuana na Mungu wao.

Juz nilikuwa KIBOZONE BAR nilikutana naye mmoja bahati nilikaa naye jirani alipoleta hayo mambo nilimuambia NO lakin tulinunuliana vinywaji kwa amani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…