Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Aliniomba urafiki akanitumia sms Messenger kanisalimia heee naona kaweka ❤️.Akaanza kunisifia una lips nzuri mara macho alinistua baada ya kunitumia video ya wanawake wana Sagana nilimtukana nikabrock nikajitoa Fecebook .
ASA kama una lipsi nzuri asikusifie?
 
Aliniomba urafiki akanitumia sms Messenger kanisalimia heee naona kaweka [emoji3590].Akaanza kunisifia una lips nzuri mara macho alinistua baada ya kunitumia video ya wanawake wana Sagana nilimtukana nikabrock nikajitoa Fecebook .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah ila watu jaman, sema sometimes mapenzi ya jinsia 1 ni kero coz ya usumbufu kwa watu wasiohusika.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] gay anae jitongozesha kwa boy sijui namuonaje yaan, mtu yuko chuo anaanzaje kuwa cheap hivyo? Raha ya gay utongozwe bhana, tena unatoaa na msimamo huhuhuhuh
Huyo nae Ali fail wapi kwaani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muda wote nakuona jf najuaga wewe ni mwanamke 🙌🙌🙌
Sijui witnessj na Bushmamy nao ni wanamke kweli sijui ladies and gentlemen 😂😂😂
 
Mada kama hizi pia zinachochea vitendo vya ushoga zikizoeleka watu wataona kawaida mwishowe yanatokea ya kilingo
Mh! Huyo itakuwa ni shoga before this.. Mi naona ndio inafundisha, usipoelewa haya unaweza zoeana na mashoga bila kujua. Huwa hawafunguki kirahisi
 
Kuna jamaa mmoja humu kaweka avatar ya mdada mzuri, kuna mtu akajichanganya akaanza ooh mrembo jamaa akamjibu mi sio mrembo akatuma picha yake pande la mtu mdingi wa maana na ndevu zake nilicheka mie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yani humu daaaah, nimeshtuka kwakweli
Sasa unawekaje avatar ya mwanamke wakati unajua kabisa himu sio kama fb au instagram lazima utongozwe tu[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom