Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Aliniomba urafiki akanitumia sms Messenger kanisalimia heee naona kaweka ❀️.Akaanza kunisifia una lips nzuri mara macho alinistua baada ya kunitumia video ya wanawake wana Sagana nilimtukana nikabrock nikajitoa Fecebook .
ASA kama una lipsi nzuri asikusifie?
 
Aliniomba urafiki akanitumia sms Messenger kanisalimia heee naona kaweka [emoji3590].Akaanza kunisifia una lips nzuri mara macho alinistua baada ya kunitumia video ya wanawake wana Sagana nilimtukana nikabrock nikajitoa Fecebook .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah ila watu jaman, sema sometimes mapenzi ya jinsia 1 ni kero coz ya usumbufu kwa watu wasiohusika.
 
Muda wote nakuona jf najuaga wewe ni mwanamke πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Sijui witnessj na Bushmamy nao ni wanamke kweli sijui ladies and gentlemen πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mada kama hizi pia zinachochea vitendo vya ushoga zikizoeleka watu wataona kawaida mwishowe yanatokea ya kilingo
Mh! Huyo itakuwa ni shoga before this.. Mi naona ndio inafundisha, usipoelewa haya unaweza zoeana na mashoga bila kujua. Huwa hawafunguki kirahisi
 
Sasa unawekaje avatar ya mwanamke wakati unajua kabisa himu sio kama fb au instagram lazima utongozwe tu[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…