Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Watu wamepita tu bira kukuongelesha.ulijuaje km n mashoga,?acha uduwanzi buana..siku nyingine akili yako ikikuagiza km huyo n shoga kamshike tako.
 
Yule mzungu alitakiwa adondokee upande wa pili mlipo kaa..
 
Pole sana,inaonekana kabla yako.kuna watu alikuwa anafanya nao
 
Daaah! kiukweli dunia inaenda race Sana,daaah na humo ma vyuo vikuu balaa Ni zito Sana Kuna kila aina ya ufirauni unafanyika....yaani hiyo stori Ni Kama naona tukio kwenye Yale mabafu
 
Daaah! kiukweli dunia inaenda race Sana,daaah na humo ma vyuo vikuu balaa Ni zito Sana Kuna kila aina ya ufirauni unafanyika....yaani hiyo stori Ni Kama naona tukio kwenye Yale mabafu
Yaani nimekutana na Hii thread, niliposoma mkasa wako nikakumbuka na lile tukio.. picha kamili ya mazingira utakuwa umenielewa kwa kuwa ulipita pale pia
 
Sure...yaani hadi smell za Yale maaneo nimeipata
Pamoja na yote, I've missed the moments once I was there, my friends and everything interesting. Kuna mkasa nilitaka kushare ila nimeisahau thread ambayo inataka Mikasa ya hivyo.. niliwahi kusaidiwa na mtu ambae sikuwahi kumfahamu before na baada ya hapo sikuwahi kumuona tena
 
Warumi is on fire [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mwaka 2021 nili install app ya badoo kwa lengo la kupata mrembo huko mtandaoni kama mnavyojua ni date app.

Nikawasilisha vibatanishi vyote ikiwemo picha yangu na nambari za simu.

Nikaanza kuzuru kwa picha za warembo mbalimbali huko ndani,kweli nikawakuta wadada wazuuri kwa kweli.

Ila cha ajabu nikaambulia kupokea text kutoka kwa jamaa aliyejitambulisha kwa jina la....,akitaka nifike mapema kabisa mwenge jijini dsm .

Akitaka niende nikamhudumie vyema kwani ana hamu sana kukunwa mk*ndu.

Wakuu nilichoka sana hasa kwa kuambulia dume akati lengo langu lilikuwa mrembo mmoja mwenye haiba ya kunipendeza.

Nilimwambia yule jamaa samahani ndugu yangu mimi ni “straight”so siwezi kutimiza hitaji lako labda ujaribu kwengine,jamaa akasisitiza sana akisema atanitumia mkwanja kwa ajili ya nauli na mambo mengine kama malipo hivi.

Kiukweli ndo ilikuwa mara ya kwanza nazama badoo na kukutana na mambo ya ajabu kama yale ilinikata kabisa stimu ya kuendelea na ile app.

Niliifuta natangia siku hiyo sijawahi kuipenda tena hiyo app wala huzo dating sites sjui.

Nimegundua hizi apps na dating sites ni upuuzi tu,yaani kuna makahaba na magay tu hakuna mtu wa maana humu.
 
Naomba kuuliza..

Shule za boarding zinahusiana vipi na mwanume kubadilika kuwa shoga?????

Maana kuna mtoto wa miaka8 yupo darasa la3 nataka kumpeleka boarding wakuu ila baada ya kupitia huu uzi naanza kuwa na hofu.
Unapelekaje mtoto miaka 8 boarding si bora umtafutie day school, boarding peleka akishaanza kujitambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…