Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Mm nlikuwa nakaaa Maeneo flani Ya fire Kariakoo mwaka Jana Nlipokuwa mwaka wa Pili Chuo cha muhimbili Sasa siku Nkawa nmeshuka chini kununua chakula maana hyo sehemu nliyokuwa nakaa ni ghorofani, sasa nlikuwa nina Mzuka na Chipsi Nkawa nmejipangia kuwa jioni ndo ntakula wali , Sasa nmeshuka hivi kuna kihoteli Wanauza Chipsi wameweka Lile lakuuza chipsi Kwa nje , Nmefika pale nkawa nasubria order yangu akapita shoga wa kwanza Kwenye barabara ya lami Iliyokuwepo mbele ,mara baada ya Dakika tano akapita wa pili , mara tena baada ya dakika Tano akapita wa tatu Anatingisha na Makalio ,dah kubababake nkaahirisha Kula Chipsi Nkasepa Maana nkasema Nuksi Hii[emoji3] nkasema ntakula Wali tu asee
Watu wamepita tu bira kukuongelesha.ulijuaje km n mashoga,?acha uduwanzi buana..siku nyingine akili yako ikikuagiza km huyo n shoga kamshike tako.
 
1. Mwako 2002 nilibahatika kwenda UK kwa mwaka mmoja na nusu. Basi jioni moja nilikuwa napunga upepo kwenye bustani ya Hyde Park London, akaja mzungu mmoja akaketi jirani nami. Akanisalimia huku akijipigisha story za hapa na pale kujenga atmosphere nzuri . Alipoona mazingira yanaruhusu alibadili mada taratibu akaanza kuingiza verse za kuniomba kinyeo. Yaani jamaa alikuwa kama mwendawazimu, akanipigia magoti eti, I promise it'll be ok!! Duh, kilistuka kwa mshangao mkubwa, nikapigwa bumbuwazi. Nikuwa wima (sikumbuki hata nilisimama saa ngapi) nilisonya kwangu kisha nikajikuta nimeacha tusi kwa Kiswahili, "kumbe wewe mshenzi sana". Jamaa aliona temper yangu akainuka ghafla akisema I'm sorry huku anasema. Kweli Ulaya mashetani wamejaa tele!

2. Mwaka 2006 nilihamishiwa kikazi kwenye mojawapo wa mikoa yenye baridi kali, nikiwa bado mgeni mkubwa wangu wa kazi aliniita chumbani mwake. Nikajua nakwenda kupokea maagizo ya kazi. Alikuwa maji ya kunde ana umbo la kike, matako makubwa yamelegea akikupa mgongo utadhani mwanamke. Anapiga pafyumu mpaka kero, akiingia sehemu, basi panafurika harufu kali ya marashi, ni mtanashati hatari. Nilipoingia akanijaribisha kiti, kisha akainuka akafunga mlango. Alikuwaamefunga taulo tu, basi akatupa taulo, pumzi ikanioanda vibaya sana, moyo unaunda mpaka nasikia, nikawa tayari kwa lolote, hasira kali sana ndani yangu. Jamaa kwa upole na unyonge akajilaza kitandani kifudifudi kisha akaniambia, huwa nina matatizo ya mgongo, naomba utoe nguo uje unijalie mgongoni uwe unanisugua mgongo. Huwezi amini, hasira zote zitaisha nikabaki nimepigwa bumbuwazi, sikupiga hatua, sijui hata niseme nini. Akasema tena baada ya muda, panda kitandani basi. Duh, ndipo fahamu zikanirudia, nikamwambia naomba nikatoa na jasho kwanza nakuja sasa hivi bosi. Basi akadhani nimemwelewa akasema nisichelewe kwani hali yake mbaya.

Nilipotoka nikamwita rafiki yangu mmoja mwenyeji (class mate wangu A Level) nikamhadithia mkasa, ndipo akanitonya, huyu bosi ni shoga na kuna mkubwa mwingine alishamfanya kama mkewe. Nilichoka mwili na roho.

**Haya ni matukio ya kweli kabisa.
Yule mzungu alitakiwa adondokee upande wa pili mlipo kaa..
 
Nilikuwa second year,hostel mabibo naenda zangu kupanda shuttle nakakutana na mdada mzuri anaongea ki Arusha,akanishika mamboo?mie Tena poa!Akasema nimependa nywele zako umesukwa vizuri naomba nipeleke kwa aliyekusuka,nikamwambia sawa,tukabadilishana number tukawa tumekubaliana jmosi nimpeleke.Kweli nikampeleka ilikuwa temeke mi nikaondoka zangu,alivyorudi hostel akanipigia akisisitiza niende nimuone na yeye alivyopendeza,nikaenda room kwake block F,Basi ndio ukawa mwanzo wa kuzoena,yeye alikuwa anafanya masters kwa hiyo nikawa namchukulia Kama dada,kwa siku napigiwa simu hata Mara nne yaani alivutaa Hadi nikamzoea,ananunua vyakula utasikia we katoto kazuri njoo tule....na mie nikaona nimepata kitonga wacha nitelemke nacho were kilichofuata Sasa...
Siku hiyo jmosi akaniambia njoo room tuangalie movie,nikaenda nikamkuta kaweka series moja Ina Mambo ya kusaganasana yupo anakunywa wine,Basi nilivyofika ananishauri kunywa wine kidogo,roho ikasita tu nikamwambia baadae naenda fellowship siwezi kwenda na pombe,mi nikajilaza kitandani huku naangalia movie nimepunguza nguo so unajua Mambo ya kiwanafunzi,Basi yeye Mara asimame acheze muziki mi najua kalewa,Mara acheke kimalayamalaya kafanya vituko pale na yeye kaja kitandani anajifanya anasinzia kaanza kunipapasa,mie Tena TOBA!we vipi ?ananiambia usiogope Bwana Ni vitu vya kawaida nataka nikupe Raha,nikaishiwa nguvu nikamwambia hapana siwezi fanya hivyo kwanza boyfriend wangu atagundua hapo nilikuwa decent girl[emoji16]...kanisumbua nikakataa nikamwambia ngoja niende fellowship nikirudi nitakuja nikaondoka,Yangu siku Ile nilimuona Kama kibaka mkubwa,nikakataa mguu room kwake akaanza nitumia meseji kabisa eti ananipenda Sana[emoji849][emoji849][emoji849]......Yupo humo mitandaoni Ni motivation speaker kwa Sasa,ana you tube channel,naishiaga kumwangalia na kusema Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Pole sana,inaonekana kabla yako.kuna watu alikuwa anafanya nao
 
Kumbe ulikuwa mabibo hostel mrembo, nlikuwa pale piaa

Anyway, kipindi nikiwa Udsm pia nlikuwa nakaa mabibo hostel. Ijumaa ratiba yangu ilikuwa Nina kipindi kimoja tu hivyo nilikuwa nakipuuza tu maana kilikuwa katikati ya siku sasa nikawa nakiona ni upuuzi tu.

sasa ijumaa moja majira ya saa kumi nikiwa nimetulia room, kutokana na uchovu wa kujilaza nikaamua kushuka chini kuchota maji maana juu hayakuwa yakitoka kwenye mabomba ya washroom na mabafuni Ili nije kuyatumia kujisaidia na kuoga kwa ajili ya mtoko kidogo. Siku hiyo nakumbuka asilimia kubwa ya watu hawakuwepo. Sasa baada ya kurudi nikaelekea moja kwa moja Ili nianzie uwani Kisha nimalizie bafuni. Joannah nadhani muundo wa majengo ya hostel sehemu za vyooni na mabafu unauelewa vyema, kunakuwa na vyoo viwili viwili na mabafu matatu pamoja na sehemu za kuswakia ambazo Zina vioo vya kujitazama. Sasa kwenye sehemu yetu, choo kimoja ndicho kilikuwa kinatumika, kile kingine hakikuwa kikitumiwa kwakuwa Bomba za vyoo vya floor za juu zinapita pale na zilikuwa zinavujisha maji kwahiyo ukiingia kujisaidia Yale matone ya maji yanakudondokea hivyo haijakaa poa.

Sasa nilipoenda uwani nikakuta mlango umefungwa, moja kwa moja nikajua kuna mtu. Ikabidi nisogee kwenye vile vioo vya kujitazama nikawa najikagua USO wangu huku nikisubiri aliyepo uwani atoke Ili niingie. Nilisubiri kwa muda huku nikisikia msuguano wa kandambili kwenye sakafu ikitokea mule uani, sikujali. Baada ya muda mlango ukafunguliwa akawa katoka jamaa tukakutanisha macho. Kwa mshtuko aliouonyesha nadhani ni kama hakutegemea kunikuta Pale huenda kutokana na ukimya uliokuwepo alidhani asingekuta mtu. Maswali niliyojiuliza haraka kichwani mwangu kwenye Ile moment ya mshangao, kwanini jamaa sijasikia akimwaga maji ilhali alikuwa akijisaidia? Kabla sijakaa sawa jamaa akaniambai mimsaidie Yale maji yangu, nikamwambia hayatonitosha sasa maana nataka kufanyia mambo mawili. Ikabidi ageuke kurudi mule chooni. Cha ajabu aliposukuma mlango ukaonekana umefungwa kwa ndani. Kajaribu kusukuma huku akisema fungua, lakini hapakufunguliwa. Ikabidi jamaa aondoke tu sasa.. Nikawaza au labda ni mafundi? Lakini hapana, inawezekanaje ilhali choo hakina changamoto yoyote? Nikajisemea ngoja nione. Muda ukapita yule jamaa hajarudi wala aliekuwa amebaki ndani hajatoka. Nikahisi labda atakuwa demu jamaa kavushia chooni ndio maana anaona aibu kutoka. Nikiwa kwenye wimbi la kutafakari, mlango ukafunguliwa bwana akatoka jamaa mwingine white halafu kalegea kweli. Aisee!!! nilishtuka kidogo nidondoke.. jamaa katoka huku kainamisha USO,,, sikuwahi kutegemea kama hayo mambo yapo aisee😂😂, mara zote mikoani nimekuwa nayaona ni kama hadithi za kutungwa tu.. niliogopa sana wakuu..

Baada ya jamaa kutoka ikabidi nikachungulie mule chooni, hapakuwa na dalili yoyote ya mtu kujisaidia kabisa ila palikuwa na lile karatasi la Condom limechanwa kumaanisha imetumika.. I can't lie, nlikuwa affected kisaikolojia karibuni wiki mzima kutokana na kile nilichokiona, sikuwahi kufikiri kuna watu wana ujasiri wa kufanyiana mambo ya hovyo kiasi kile.

Jioni jamaa zangu pale room tukiwa kwenye story wanasema wamekuta karatasi la Condom chooni sijui jamaa Gani alileta demu humo, Ina maana alishindwa kufanyia hata kwenye room yake.. nikawapa mkasa huo nilivyoushuhudia..
Daaah! kiukweli dunia inaenda race Sana,daaah na humo ma vyuo vikuu balaa Ni zito Sana Kuna kila aina ya ufirauni unafanyika....yaani hiyo stori Ni Kama naona tukio kwenye Yale mabafu
 
Daaah! kiukweli dunia inaenda race Sana,daaah na humo ma vyuo vikuu balaa Ni zito Sana Kuna kila aina ya ufirauni unafanyika....yaani hiyo stori Ni Kama naona tukio kwenye Yale mabafu
Yaani nimekutana na Hii thread, niliposoma mkasa wako nikakumbuka na lile tukio.. picha kamili ya mazingira utakuwa umenielewa kwa kuwa ulipita pale pia
 
Sure...yaani hadi smell za Yale maaneo nimeipata
Pamoja na yote, I've missed the moments once I was there, my friends and everything interesting. Kuna mkasa nilitaka kushare ila nimeisahau thread ambayo inataka Mikasa ya hivyo.. niliwahi kusaidiwa na mtu ambae sikuwahi kumfahamu before na baada ya hapo sikuwahi kumuona tena
 
Nyie wanawake wa JF ebu achen ushamba, changamken , unajidai una bwana had leo hujawah kumpa kwa mparange mxieew tutaishia kuwaibia wanaume zenu had mkome nyie muendelee kuwa magol keeper , this is 21 century , wanaume wanapenda tigo kuliko kitu chochote, warumi Mie malaya Nina experience na hawa viumbe[emoji16]
Warumi is on fire [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mwaka 2021 nili install app ya badoo kwa lengo la kupata mrembo huko mtandaoni kama mnavyojua ni date app.

Nikawasilisha vibatanishi vyote ikiwemo picha yangu na nambari za simu.

Nikaanza kuzuru kwa picha za warembo mbalimbali huko ndani,kweli nikawakuta wadada wazuuri kwa kweli.

Ila cha ajabu nikaambulia kupokea text kutoka kwa jamaa aliyejitambulisha kwa jina la....,akitaka nifike mapema kabisa mwenge jijini dsm .

Akitaka niende nikamhudumie vyema kwani ana hamu sana kukunwa mk*ndu.

Wakuu nilichoka sana hasa kwa kuambulia dume akati lengo langu lilikuwa mrembo mmoja mwenye haiba ya kunipendeza.

Nilimwambia yule jamaa samahani ndugu yangu mimi ni “straight”so siwezi kutimiza hitaji lako labda ujaribu kwengine,jamaa akasisitiza sana akisema atanitumia mkwanja kwa ajili ya nauli na mambo mengine kama malipo hivi.

Kiukweli ndo ilikuwa mara ya kwanza nazama badoo na kukutana na mambo ya ajabu kama yale ilinikata kabisa stimu ya kuendelea na ile app.

Niliifuta natangia siku hiyo sijawahi kuipenda tena hiyo app wala huzo dating sites sjui.

Nimegundua hizi apps na dating sites ni upuuzi tu,yaani kuna makahaba na magay tu hakuna mtu wa maana humu.
 
Naomba kuuliza..

Shule za boarding zinahusiana vipi na mwanume kubadilika kuwa shoga?????

Maana kuna mtoto wa miaka8 yupo darasa la3 nataka kumpeleka boarding wakuu ila baada ya kupitia huu uzi naanza kuwa na hofu.
Unapelekaje mtoto miaka 8 boarding si bora umtafutie day school, boarding peleka akishaanza kujitambua
 
Back
Top Bottom