Scolari
JF-Expert Member
- Aug 25, 2017
- 1,721
- 2,383
Uchafu wa kila Aina wengine watu wazima Sanani site iyo Google uone maajabu hutoamin kama ni tanzania
Hili swala linafaa lifanyiwe utaratibu serikali badala ya kupambana kuizuia Twitter isipatikane ni Bora wangepambana na uhafidhina huu waukomeshe