Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Shoga angu utabaki mdomo wazi, ebu niache mie ila jua tu humu kuna mambo binamu [emoji23][emoji23]

Binamu Jaman chato kuna wezi , Jana nilipata danga nikaenda kulala nalo tumekubaliana asubuhi malipo, shoga angu nikachekechwa usiku kucha naamka asubuh mwanaume kakimbia, trna kaniibia na Cheni yangu ya dhahabu nilinunuliwa na danga langu la south , Yan nimelia leo , ntakachomfanya huyu mbwa atajuta
Ahahha
Pole shoga ukaliwa bure na kuibiwa juuu
Akii usikubali
 
Shoga angu utabaki mdomo wazi, ebu niache mie ila jua tu humu kuna mambo binamu [emoji23][emoji23]

Binamu Jaman chato kuna wezi , Jana nilipata danga nikaenda kulala nalo tumekubaliana asubuhi malipo, shoga angu nikachekechwa usiku kucha naamka asubuh mwanaume kakimbia, trna kaniibia na Cheni yangu ya dhahabu nilinunuliwa na danga langu la south , Yan nimelia leo , ntakachomfanya huyu mbwa atajuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu mwamba amejilipa

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Shoga angu utabaki mdomo wazi, ebu niache mie ila jua tu humu kuna mambo binamu [emoji23][emoji23]

Binamu Jaman chato kuna wezi , Jana nilipata danga nikaenda kulala nalo tumekubaliana asubuhi malipo, shoga angu nikachekechwa usiku kucha naamka asubuh mwanaume kakimbia, trna kaniibia na Cheni yangu ya dhahabu nilinunuliwa na danga langu la south , Yan nimelia leo , ntakachomfanya huyu mbwa atajuta
Hahahaha wewe hebu tuache sie tunamalizia kulia mxyuuuuuuu
 
Shoga angu utabaki mdomo wazi, ebu niache mie ila jua tu humu kuna mambo binamu [emoji23][emoji23]

Binamu Jaman chato kuna wezi , Jana nilipata danga nikaenda kulala nalo tumekubaliana asubuhi malipo, shoga angu nikachekechwa usiku kucha naamka asubuh mwanaume kakimbia, trna kaniibia na Cheni yangu ya dhahabu nilinunuliwa na danga langu la south , Yan nimelia leo , ntakachomfanya huyu mbwa atajuta
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]dahhh
 
Namjua km muuza ngada wa Sinza mkwee!![emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]nlitaka nyamanyama za umbea!!!

Mbona inasemekana alikua anawachoma wauza ngada huu mzigo wa mwisho 50kg alikisanusha yeye ndio wakamf....[emoji850][emoji850][emoji850]
 
hahahaaa umenikumbusha jamaa yangu alikuwa na kapikipiki kake akitoke kati ya mji, akaona sio kesi ngoja apitie pale kwa macheni, alipofika pale akaagiza bia zake mbili, akazikata fasta, ghafla akaja muhudumu na bia mbili zingine, akamwambia jamaa yako amekuagizia, mwana bila kujiuliza akapiga, ataka kumaliza, zikaja tena mbili, mmh, jamaa akauliza ni nani anakutuma akaambiwa jamaa yule pale, kidogo ukaja mchemsho, jamaa kichwa ikaanza kuchaji, akaona hapa lazma nimuone anayeniagizia, wakati anamaliza mchemsho sasa ndio likaja pandikizi la dume, na yeye ndio anainuka, kwanza akashikwa tako, dah jamaa akahamaki, akaambiwa tulia kijana, mambo madogo tu haya, usijali utazoea unaonekana we ni mpya mambo haya bado huna uzoefu nayo, usijali hata wenzako walikuwa wakali kama wewe, akashikwa tena tako, janaa ilimchomoka ngumi moja matata sana, yule bazazi chali, damu kibao, cha ajabu alipoinuka akamuagizia aletewe bia tatu, kwani kijana anaonekana sildi, mshikaji alivyosikia hivyo akaanza kukimbia huku akipiga kelele, na pikipiki akaisahau, alipofika maskani ndio akaja kuomba msaada turudi nae afuate pikipiki...
Aise nimecheka balaa hii comment nimeiludia Mara tatu kusoma
 
Mbona inasemekana alikua anawachoma wauza ngada huu mzigo wa mwisho 50kg alikisanusha yeye ndio wakamf....[emoji850][emoji850][emoji850]
Mi namjua km ye nae ana hizo mishe labda km kaacha na ni mdananda pia (kuwadi) kwa madada wa mjini tajiri wa roho!so yote yawezekana maana mjini kuna mambo mengi hatari!
 
hahahaaa umenikumbusha jamaa yangu alikuwa na kapikipiki kake akitoke kati ya mji, akaona sio kesi ngoja apitie pale kwa macheni, alipofika pale akaagiza bia zake mbili, akazikata fasta, ghafla akaja muhudumu na bia mbili zingine, akamwambia jamaa yako amekuagizia, mwana bila kujiuliza akapiga, ataka kumaliza, zikaja tena mbili, mmh, jamaa akauliza ni nani anakutuma akaambiwa jamaa yule pale, kidogo ukaja mchemsho, jamaa kichwa ikaanza kuchaji, akaona hapa lazma nimuone anayeniagizia, wakati anamaliza mchemsho sasa ndio likaja pandikizi la dume, na yeye ndio anainuka, kwanza akashikwa tako, dah jamaa akahamaki, akaambiwa tulia kijana, mambo madogo tu haya, usijali utazoea unaonekana we ni mpya mambo haya bado huna uzoefu nayo, usijali hata wenzako walikuwa wakali kama wewe, akashikwa tena tako, janaa ilimchomoka ngumi moja matata sana, yule bazazi chali, damu kibao, cha ajabu alipoinuka akamuagizia aletewe bia tatu, kwani kijana anaonekana sildi, mshikaji alivyosikia hivyo akaanza kukimbia huku akipiga kelele, na pikipiki akaisahau, alipofika maskani ndio akaja kuomba msaada turudi nae afuate pikipiki...
[emoji3][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom