Hili ndio wanashindwa kulitambua.Tatizo mnatrend kwa mambo ya kizwazwa ...hii jamii ya kiume mnayo itengeneza majibu yake mtayapata wala msijari inaweza usiyapate wewe ila wasichana wako wakayapata ....maana sikuhizi wanaume wenye kumbukumbu nzuri na wanawake wanaisha wote walio baki wanamemory mbaya na wanawake
Na kwambia wazazi wenye watoto wa kike kwa kweli wasitegemee watoto wao kuolewa miaka ya mbeleni